Search results

  1. Cushite

    Spain yazuia meli ya silaha zinazokwenda Israel kutia nanga nchini mwake.

    aliyelaaniwa ni wewe na nchi yako ya watu weusi. Spain imekwisha barikiwa kitambo sana ndo maana ilitawala bara la Amerika ya Kusini na lugha yake inaendelea kuongelewa Marekani ya kusini.
  2. Cushite

    Mbunge Mohammed Issa aliyesema yeye si Mtanzania, kwanini bado yupo Bungeni?

    Acha kuleta siasa humu jukwaani! Maendeelo gani yamepatikana kwa sababu ya muungano na kwamba bila muunganio hayo yasingekuwepo?
  3. Cushite

    Mbunge Mohammed Issa aliyesema yeye si Mtanzania, kwanini bado yupo Bungeni?

    Acha kuleta siasa humu jukwaani! Maendeelo gani yamepatikana kwa sababu ya muungano na kwamba bila muunganio hayo yasingekuwepo?
  4. Cushite

    Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

    Mdoli wa kwenye maduka ya nguo.
  5. Cushite

    Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

    Acha kutetea ujinga. Maroboti Dunia ya Leo ni mengi na yanafanya hadi kazi ndani na mashambani. Kwani ni lazima sisi tumtengeneze wa kwetu? Kwanini usiende Kwa wenye ujuzi ukampa specifications zako wakakutengenezea? Yule wa NAPE ni mdoli, siyo Roboti.
  6. Cushite

    Kilimo cha vitunguu kwa mikoa ya Singida na Manyara

    Mang'ola ni Arusha. Siyo Manyara.
  7. Cushite

    Rais wa Nchi ya Watu wa Zanzibar yupo kikazi Jijini Arusha

    Kiti cha Tanganyika kinatumiwa na nani?
  8. Cushite

    Mwanamke atakuacha akiona mnafanana

    kabisa. mimi na jamaa zangu tulianzisha jogging club ili kutoa vitambi na nyama uzembe za chipsy. nimefanikiwa pekee yangu. wengi hadi jogging hawatokei tena baada kukimbia mara mbili tu na kuanza kuumwa misuli. mimi nimetoka kg 88 hadi 79 ndani ya siku 90. lengo ni kwenda kg 74-76 kwa urefu wangu.
  9. Cushite

    Mwanamke atakuacha akiona mnafanana

    Kuvitoe kimbeembe sana na inahitaji kujitoa kimwili na kifikra.
  10. Cushite

    International Schools zina nini cha zaidi?

    bado mnachanganya kati ya English Medium Schools na Internationa schools. hata huko Uganda na Kenya kuna International schools ila hakuna English Medium Schools maana huko lugha ya kufundishia ni English.
  11. Cushite

    Vatican yashutumiwa kuhusika mauaji ya kimbari Rwanda

    Baadhi ya mapadri walishiriki moja kwa moja ktk mauaji ya halaiki dhidi ya Watutsi na Wahutu wa mrengo wa kushoto (wasioafiki mauaji dhidi ya Watutsi). Baadhi ya Watawa walitoa taarifa kwa Wauaji kuhusu uwepo wa watutsi walioenda kujihifadhi ndani ya kanisa wakijua ni mahala salama na wengine...
  12. Cushite

    Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

    Zanzibar siyo nchi. NUKTA.
  13. Cushite

    NATO kupambana na Russia endapo Ukraine itashindwa vita - Austin

    Kichwa chako kipi Empty. Eti Gadafi along'olewa na Migambo. Kwani ukiwa mkweli kuna tatiz gani?
  14. Cushite

    South Africa, We're at last fed up with your daily grambling over Israel invasion of Gaza

    Who are you by the walk side. It's better Shut up your mouth.
  15. Cushite

    Hakujawahi kuwa na taifa la Palestina kwenye historia yote kabla ya 1947, hawa wapalestina wanadai ardhi yao ipi ?

    Mleta mada ana mhemko wa Kilokole, wala haijui historia. Pale aliposema tu wakati wa utawala wa Uingereza ktk eneo la Palestina ndo kipindi Wayahudi walipelekwa Utumwani Ulaya sikuendelea Tena kusoma Kwa umakini.
  16. Cushite

    Hakujawahi kuwa na taifa la Palestina kwenye historia yote kabla ya 1947, hawa wapalestina wanadai ardhi yao ipi ?

    Unasahau kama Gaza ilikiwepo tangu enzi za Daudi na lilikuwa eneo lililojitegemea nje na utawala wa Umoja wa Ufalme wa Israel
  17. Cushite

    Kuacha degree ya Human Resources kwenda kusomea Diploma in Forestry

    tayari yupo Chuo cha Misitu anasoma NTA Level 5 (Diploma in Forestry).
  18. Cushite

    Maji ya ziwa Viktoria yavamia makazi Lamadi, kaya 400 hazina pa kwenda

    tupia picha ili tuone hayo makazi ya wilaya ya Lamadi o_O o_O o_O o_O
Back
Top Bottom