Mwanamke atakuacha akiona mnafanana

*Unalalamika kama Yeye
*Unaongea sana kama Yeye
*Unaongozwa na hisia kama Yeye
*Una wivu sana kama Yeye
*Huna misimamo kama Yeye
*Una matiti na kitambi kama Yeye
Kila siku miongozo kibao kwa wanaume halafu in return uyo mwanamke anacho-provide ni K tu.

Mmewa-overrate sana wanawake, they are not that special.

Mwanaume ishi vile ulivyo, fanya unachokipenda, fanya kwa uwezo wako na jijali wewe mwenyewe kwanza achana na habari za kuwaridhisha wanawake
 
kabisa. mimi na jamaa zangu tulianzisha jogging club ili kutoa vitambi na nyama uzembe za chipsy. nimefanikiwa pekee yangu. wengi hadi jogging hawatokei tena baada kukimbia mara mbili tu na kuanza kuumwa misuli. mimi nimetoka kg 88 hadi 79 ndani ya siku 90. lengo ni kwenda kg 74-76 kwa urefu wangu.
Hizo kg n nzuri kwa above 30+yrs.
Mazoezi yanahitaji ujitoe kweli kweli vinginevyo kila siku utasema ntaanza kesho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom