Search results

  1. Zitto

    Mkoa wa Kagera ni Mkoa masikini zaidi nchini Tanzania; tutaugeuza kituo cha biashara EAC

    - 51% ya wakazi wake wanatumia chini ya TZS 1,644 kwa siku ( mstari wa umasikini Tanzania ni TZS 49,320 kwa Mwezi ). - Pato la Wastani la Mtu wa Kagera ni TZS 1.2M kwa Mwaka. Mtu wa Ruvuma na Iringa ana Pato la Wastani mara 3 zaidi ya mtu wa Kagera. - Mwaka 1994 Kagera ilishika nafasi ya 12...
  2. Zitto

    Zitto Kabwe: Vitabu nilivyosoma Mwaka 2022

    Mwaka huu unaomalizika 2022 nimebahatika kusoma vitabu mbalimbali 33 (2021:29, 2020:16, 2019:34). Ulikuwa mwaka mzuri kwa usomaji vitabu na pia mwaka ambao nilibahatika kupata zawadi nyingi za vitabu kutoka kwa marafiki zangu na ndugu zangu. Nitaanza mwaka 2023, Mungu akijaalia kuvuka salama...
  3. Zitto

    Josina Machel: Zitto Kabwe November 2014

    Josina Machel katika S is for SAMORA Uhuru wa nchi ya Msumbiji hauwezi kuelezwa bila kumtaja Samora Machel na bila kuitaja Tanzania. Hata hivyo Watanzania wengi na pia wana Msumbiji wengi wa kizazi cha sasa wanapoteza kumbukumbu kuhusu nafasi ya Tanzania katika harakati za ukombozi wa nchi...
  4. Zitto

    Baadhi ya Vitabu nilivyosoma mwaka 2021 – Zitto Kabwe

    Baadhi ya Vitabu nilivyosoma mwaka 2021 – Zitto Kabwe Mwaka 2021 nimejaaliwa kusoma vitabu 29 (2020:16, 2019:34). Nimesoma vitabu zaidi mwaka huu unaokwisha kwa sababu nilipata muda mzuri wa kutosha kusoma vitabu na majarida mbalimbali ya kitaalamu. Vile vile nimesoma ripoti nyingi za Serikali...
  5. Zitto

    #COVID19 Zitto: Nimepima, nimekutwa na maambukizi ya UVIKO. Naendelea vema

    Jana nimepima nikakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive. Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena. Nawaomba muendelee kuchukua...
  6. Zitto

    Salaam za Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto Juu ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika Alhamis, 9 Disemba 2021

    Leo tarehe 9 Disemba, sehemu moja ya Jamhuri yetu ya Muungano wa Tanzania, iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika, inatimiza umri wa miaka 60 tangu Uhuru wake. Ni siku muhimu mno kwa Taifa letu, kwa sababu ya umuhimu wake huo nimeamua nami kuzungumza nanyi moja kwa moja kwa njia hii kutafakari nanyi...
  7. Zitto

    Zitto Kabwe: Kwaheri John Magufuli, Buriani Tingatinga

    Kwa Heri John Magufuli, Buriani Tingatinga Zitto Kabwe Imenichukua karibu wiki nzima kuandika, japo kidogo, kukuaga Rais Magufuli. Unajua kwanini ninapata ugumu kuandika japo napenda sana kuandika tanzia kiasi huwa nawaza nani ataandika tanzia yangu na ataandika nini. Lakini pia imenichukua...
  8. Zitto

    Siku 100 za Kuwaweka Wazanzibari pamoja

    Tarehe 7 Disemba 2020 Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi alimwapisha Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na hivyo Kutekeleza Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984 iliyofanyiwa marekebisho Mwaka 2010 Kwa kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa...
  9. Zitto

    Baadhi ya Vitabu nilivyosoma mwaka 2020 - Zitto Kabwe

    Mwaka 2020 nimejaaliwa kusoma vitabu 16 (2019:34, 2018:49), ni Orodha ndogo sana kulinganisha na miaka ya nyuma. Hii ni kwa sababu shughuli nazo zimekuwa nyingi, ikizingatiwa kuwa ulikuwa Mwaka wa Uchaguzi Mkuu. Muda mrefu tumeutumia barabarani, Vijijini na Mitaani kuzungumza na wananchi. Pia...
  10. Zitto

    Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

    MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA. Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa: 1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT...
  11. Zitto

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo na Sekta Binafsi

    Wafanyabiashara, Sekta Binafsi na Uwekezaji nchini: ACT Wazalendo itafanya nini? #IlaniACT2020 ACT Wazalendo inaamini kuwa Sekta binafsi ndio Injini ya kuendesha Uchumi wetu na kuzalisha Ajira. Hivi sasa 91% ya Ajira zote rasmi Nchini Tanzania zinatokana na Sekta Binafsi. Wafanyabiashara...
  12. Zitto

    Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: CCM imeshindwa kutimiza ahadi zake za 2015

    Chama cha Mapinduzi kiliahidi Wananchi ahadi kedekede mwaka 2015 kupitia Ilani yao. Hata hivyo utekelezaji wa Ilani Katika miaka 5 ni 31% tu hivyo kupata alama D. Baadhi ya maeneo ambayo CCM haikutekeleza Ilani ni Pamoja na 1. Ibara ya 20(h)(ii) CCM waliahidi Kukamilisha hatua za kuanzisha...
  13. Zitto

    Uchaguzi 2020 Ilani 2020: ACT-Wazalendo kujenga Utajiri wa Jamii kupitia Ushirika wa kisasa

    Ilani 2020: ACT-Wazalendo Kujenga Utajiri wa Jamii kupitia Ushirika wa kisasa. Kuongezeka kwa tofauti za kipato huku matajiri wakizidi kunufaika na mifumo ya kiuchumi iliyopo pamoja na ukosefu wa ajira kunazidi kushika kasi duniani na Tanzania ikiwemo. Hii inaamsha ari ya kufikiri njia mpya za...
  14. Zitto

    ILANI ACT 2020 - Katiba, Muungano Utawala wa Sheria na Uraia pacha

    ILANI ACT 2020 - Katiba, Muungano Utawala wa Sheria na Uraia pacha Usawa mbele ya sheria Hakuna na hakutakuwa na aliye juu ya sheria kwenye Serikali itakayoongozwa na ACT wazalendo. Kila kitu katika Serikali yetu kitaongozwa kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu zilizoanishwa na vyombo...
  15. Zitto

    Uchaguzi 2020 Ilani 2020: ACT-Wazalendo kujenga utajiri wa jamii kupitia ushirika wa kisasa (Community Wealth Building)

    Ilani 2020: ACT-Wazalendo Kujenga Utajiri wa Jamii kupitia Ushirika wa kisasa (Community Wealth Building). Kuongezeka kwa tofauti za kipato huku matajiri wakizidi kunufaika na mifumo ya kiuchumi iliyopo pamoja na ukosefu wa ajira kunazidi kushika kasi duniani na Tanzania ikiwemo. Hii inaamsha...
  16. Zitto

    Uchaguzi 2020 Zitto: Ilani ya ACT Wazalendo na utekelezaji wake

    Ahadi za ACT Wazalendo Jamhuri ya Muungano ZITATEKELEZWAJE? 1. Elimu ya Juu: Kufuta mikopo yote ya miaka ya nyuma iliyotolewa kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu na kuanza kutekeleza Mfumo mpya wa kugharamia Elimu ya Juu. Serikali italipia Ada ya Masomo (Tuition Fee), Fedha za Vitabu (Stationeries)...
  17. Zitto

    Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati?

    Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati? Tangu jana nimeona shamrashamra kubwa kuhusu kinachoitwa mafanikio ya Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa Kati. Kuingia Uchumi wa Kati ni hatua nzuri lakini inayohitaji ufafanuzi wa kiuongozi. Hatua hii ikifanyiwa propaganda itaonekana kuwa Serikali ya...
  18. Zitto

    Watanzania wanataka mabadiliko. Ni wajibu wetu kuwapa Mabadiliko ya Uhakika

    HOTUBA YA NDG. ZITTO KABWE, KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO KATIKA HAFLA YA KUPOKEA WANACHAMA WAPYA WALIOKUWA WABUNGE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DAR ES SALAAM, TAREHE 20 JUNI, 2020. Ndugu Viongozi waandamizi wa ACT Wazalendo; Ndugu Wanachama wenzangu wa ACT Wazalendo...
  19. Zitto

    ACT Wazalendo; Tunaomba maoni yenu kukamilisha Ilani yetu ya Uchaguzi

    Ni mambo gani serikali ijayo yakifanya utahisi na kuona kuwa tunajenga Tanzania ya ndoto yako? #TanzaniaYangu. KUTOA MAONI: BONYEZA HAPA. Chama chetu cha ACT Wazalendo kimedhamiria kujenga serikali shirikishi, inayosikiliza na kuheshimu mawazo na maono ya watanzania, Ilani ya chama chetu...
  20. Zitto

    Miaka 5 ya Wananchi kupambana na Hali zao

    ACT Wazalendo na Bajeti za Serikali ya CCM Awamu ya Tano 1. Mwaka 2016 kukiwa na shamra shamra kubwa za Serikali mpya makisio ya Bajeti yaliongezwa kwa 31%, Chama chetu kilipofanya Uchambuzi wa Bajeti ya Kwanza ya Serikali ya Awamu ya Tano tulihitimisha kuwa #TumeanzaVibaya kwani ongezeko hili...
Back
Top Bottom