Search results

  1. T

    Hivi hili litawezekana kama la kupiga kura ukiwa nje ya nchi hairuhusiwi?

    Nime copy ilivyo toka Ippmedia: THE GUARDIAN. Tanzanians in Diaspora are proposing a suitable mechanism of taxing Tanzanian investors and businesspeople living abroad in a spirited drive to boost up the country’s revenue-base. This comes as reports say that the government is losing a lot of...
  2. T

    Ushauri kwa ndoa za Mashaka

    Week end imeanza...! Kwa wale walio olewa au kuoa wana jeshi mna shauriwa sana, mnapokuwa mmelala majumbani mwenu msikubali kabisa wenza wenu wakalala usingizi fofofo na kuanza kuota, Kwani akiota tu kwamba mpenziwe au mkewe ana fanya mapenzi na wanaume mwingine au mwanamke mwingine ujue...
  3. T

    Mashtaka ya nini wakati umetoa ushirikiano mzuri tu?

    Leo naona wana jf wengi weshajiandaa kwa wk japo siku baaaaado kabisa !!!! wazee wa Jackie D, Captain M, Konyagi, Damu ya Mungu, TBL wazee wa mujini bila kusahau wale wa uwanja wa fisi na wapenda supu za pweza weshaanza ulizana wapi pakwenda kufanya mashambulizi. Lakini yote hayo msijisahau...
  4. T

    Walionunuliwa Magari Mekundu na Amatus Liyumba

    Ndugu zangu kwanza natanguliza samahani zangu kwa yule yeyote nitakae kwenda kumkwanza kwa njia moja au ingine. Mr. Liyumba ni mfanyakazi wa Benki kuu ya Tanzania BOT, kazi ambayo Labda kutokana mazingira yake ilimpa mwanya wa kuweza kujipatia kipato kwa njia zisizo halali, Mimi si husiki huko...
  5. T

    Huwa Rais anafikiria nini katika uteuzi wake?

    Nimejaribu kujiuliza lihi swali kila wakati bila kupata majibu yaliyo sahihi , Huwa najiuliza Rais wetu aliwaza nini au huwa anawaza nini pale ambapo huwa teuwa wana jeshi wastaafu kuwa wa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ? Labda kwa ufahamu wangu mdogo mnaweza kunisaidia katika kupata...
  6. T

    Ushauri kwa rais

    Kwa mara ya kwanza ni ngependa kutoa ushauri kwa wale washauri wa Rais wetu. Nimetafakari kwa muda mrefu, Kutokana na misukosuko mingi iliyopo ndani ya nchi yetu kwa sasa,tukianzia katika swala la kuanguka kwa Uchumi wa Tanzania, Maswala mbali mbali yahusushwayo na Ufisadi, Mifarakano kati ya...
  7. T

    Kwanini Lisiwezekane Kwa KIKWETE ??

    Taiwan ex-leader jailed for life Mr Chen chose to stay in detention rather than hear the verdict in person Taiwan's former President Chen Shui-bian has been sentenced to life in prison after being found guilty of corruption by a court in Taipei. Mr Chen was charged with embezzlement...
Back
Top Bottom