Walionunuliwa Magari Mekundu na Amatus Liyumba

Tongue blister

JF-Expert Member
Jun 19, 2009
362
11
Ndugu zangu kwanza natanguliza samahani zangu kwa yule yeyote nitakae kwenda kumkwanza kwa njia moja au ingine.

Mr. Liyumba ni mfanyakazi wa Benki kuu ya Tanzania BOT, kazi ambayo Labda kutokana mazingira yake ilimpa mwanya wa kuweza kujipatia kipato kwa njia zisizo halali, Mimi si husiki huko na siwezi kumhukumu kwa sababu sina hata ule uhakika wa kile kilichotendea hadi kumpelekea kufunguliwa mashtaka kwake kwa kuliingizia taifa hasara za mamilion ya shilingi. HAINIHUSU SANA HII.

Mr Liyumba kwa tetesi ambazo pia sina uhakika wa asilia mia nasikia alijihusisha katika vitendo vya kufanya ngono na baadhi ya dada zetu na kuwanunulia magari aina ya RAV 4 nyekundu.! Kama baadhi ya post zilizopita zilivyokuwa zikizungumzia.

Jambo hili nimelifikiria kiundani nikaja kujridhisha kwa majibu kwamba Mr. Liyumba kama binadamu wengine ana haki ya kufanya kile ambacho anaona kwake ni sawa na anao uhuru wa maisha yake na matumizi ya fedha alizo nazo kufanya kile aonacho yeye ni sawa pasipo kumdhuru au kuvunja sheria za nchi. Labda naweza kumhukumu tu endapo itakuja kugundulika kwamba aliyafanya hayo kwa makusudi akijijua kwamba yeye ni mwathirika au kwa kuwakomoa dada zetu.

Vingine sitoweza kumhukumu kwani wenye kufanya mapenzi na wanawake wengi na kuwahonga magari,fedha na hata nyumba na vitu vingine ni wengi miongoni mwetu.

Binadamu tumeumbwa na kutofautishwa na wanyama kwasababu tumepewa uwezo wa kutambua yaliyo mazuri na mabaya , tumepewa uwezo wa kufikiri mambo tofauti na wanyama wa polini.

Mr Liyumba yupo mahabusu ..hupangiwa siku za kwenda kusikiliza mashitaka yake mahakamani.

Je, dada zangu walionunuliwa RAV 4 nyekundu ni WANGAPI HUENDA KUSIKILIZA MASHITAKA YA MR LIYUMBA SIKU HIZO AMBAZO HUPANDISHWA KIZIMBANI?
 
Ndugu zangu kwanza natanguliza samahani zangu kwa yule yeyote nitakae kwenda kumkwanza kwa njia moja au ingine.!!

Mr. Liyumba ni mfanya kazi wa Benk kuu ya Tanzania BOT , kazi ambayo Labda kutokana mazingira yake ilimpa mwanya wa kuweza kujipatia kipato kwa njia zisizo halali, Mimi si husiki huko na siwezi kumhukumu kwasababu sina hata ule uhakika wa kile kilichotendea hadi kumpelekea kufunguliwa mashtaka kwake kwa kuliingizia taifa hasara za mamilion ya shilingi. HAINIHUSU SANA HII..!!

Mr Liyumba kwa tetesi ambazo pia sina uhakika wa asilia mia nasikia alijihusisha katika vitendo vya kufanya ngono na baadhi ya dada zetu na kuwanunulia magari aina ya RAV 4 nyekundu.! Kama baadhi ya post zilizopita zilivyokuwa zikizungumzia .

Jambo hili nimelifikiria kiundani nikaja kujridhisha kwa majibu kwamba Mr. Liyumba kama binadamu wengine ana haki ya kufanya kile ambacho anaona kwake ni sawa na anao uhuru wa maisha yake na matumizi ya fedha alizo nazo kufanya kile aonacho yeye ni sawa pasipo kumdhuru au kuvunja sheria za nchi. Labda naweza kumhukumu tu endapo itakuja kugundulika kwamba aliyafanya hayo kwa makusudi akijijua kwamba yeye ni mwathirika au kwa kuwakomoa dada zetu.

Vingine sitoweza kumhukumu kwani wenye kufanya mapenzi na wanawake wengi na kuwahonga magari,fedha na hata nyumba na vitu vingine ni wengi miongoni mwetu.

Binadamu tumeumbwa na kutofautishwa na wanyama kwasababu tumepewa uwezo wa kutambua yaliyo mazuri na mabaya , tumepewa uwezo wa kufikiri mambo tofauti na wanyama wa polini.

Mr Liyumba yupo mahabusu ..hupangiwa siku za kwenda kusikiliza mashitaka yake mahakamani.

Je dada zangu walionunuliwa RAV 4 nyekundu ni WANGAPI HUENDA KUSIKILIZA MASHITAKA YA MR LIYUMBA SIKU HIZO AMBAZO HUPANDISHWA KIZIMBANI ?

Ni mbio za vijiti na ukichunguza sana unaweza na demu wako yumo kwenye list, kwa kweli inatisha sana.

Anyway, we hope 4the best.
 
Liyumba is my hero,
yeyote anaeweza fanikiwa kuwalamba
wanawake anaowataka is my hero,,,,
suala la kumshawishi mwanamke akuvulie chupi sio
jambo rahisi hivyo.wapo watu wana pesa na wanashindwa

No comment ila chakuhofia tuu incase ni kweli yuko connected...
 
nani mwenye uhakika hana?
Wewe je umepima?hao wanawake walipimwa kabla
hawajaenda kwa liyumba?
Ur absolutely right........watu wanapenda sana kuwanyooshea wengine vidole, je wao wako salama?? Wamepima au ni Liyumba tu ndo anayeonekana??? Maswali ni mengi kuliko majibu...
 
Magic Johnson hadi leo ZIMA?

Ndiyo kwanza juzijuzi kamzika Michael Jackson.

Kuwa na MDUDU siyo kuwa na maana utakufa kesho au kufikiria kuwa atakufa kabla yako.

Wengi walilia na kudhani kuwa Magic Johnson atakufa mapema ila tangu atangaze, wameshuhidia akija kubeba majeneza yao.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=JlQcJAjYxaI[/ame]
 
Kinachotusumbua sio wivu hasa, ila ni kitu fulani ambacho kinakaribiana na wivu kwamba hata mwizi amefanikiwa nyumbani kwangu. Jamani duniani hakuna haki!

Lakini tujipe moyo na tukumbuke kuna msemo wa kinyakyusa unasema "U BHUHIJI BHO BWANGALI" Yaani wizi ndio utajiri tusichukie. Kwani mwenye pesa ndiye yuko huru zaidi katida uchaguzi wa bidhaa sokoni. Inaumaeeeh!!
 
Tatizo ni nini? Liyumba kuwanunulia magari au kuwat..... mademu, wangapi? Wanahonga mademu, kila mtu anahonga kadri ya uwezo wake kuna ambao wanahonga chipsi wanafunzi, wengine Bia, inategemea kipato chako. Jamani tuwache kuzungumzia majungu hapa maana kila mtu kati yetu ameshawahi kuhonga au kuhonga.
 
UTAJILI, TAMAA NA ULIMBUKENI!!! Hakuna zaidi ya haya na kwa ujumla wake ni njia ngumu tuliyoifanya rahisi kuelekea "SAFARI" isiyo na tafsiri sahihi. Tuwe wasikilizaji wazuri kwa yale tusiyoyaweza, tuwe watazamaji wema kwa yale yenye manufaa na tunayoyaweza tuyafanye kwa haki!!
 
Copy ya ile list ya mashemeji zetu kwa Liyumba nani anayo? Au niitoe kwa kujikumbusha?
 
Je dada zangu walionunuliwa RAV 4 nyekundu ni WANGAPI HUENDA KUSIKILIZA MASHITAKA YA MR LIYUMBA SIKU HIZO AMBAZO HUPANDISHWA KIZIMBANI ?

Ungekuwa wewe ungeenda?
umepima?
kama umepima unao?
kama unao, dr. kasemaje?

Kweli nyani halioni kundule!!!
 
Ungekuwa wewe ungeenda?
umepima?
kama umepima unao?
kama unao, dr. kasemaje?

Kweli nyani halioni kundule!!!
hahahahahahaha
leo nilikua menuna kwelikweli, na Liver wakafanya siku iwe mbaya, ila hapo pamefanya nipate usingizi. ngoja nizime comp hapa nimege then nilale.
 
Ungekuwa wewe ungeenda?
umepima?
kama umepima unao?
kama unao, dr. kasemaje?

Kweli nyani halioni kundule!!!

Hahaaaa!! Mkuu kwa hoja hii kama ningelikuwa mwanamke na kisha ningelikuwa na uhusiano na Liyumba ninge kwenda kusikiliza kwani yeye ni binadamu kama binadamu wengine..Haja tenda kosa la kumtenganisha na ubinadamu..!!

Ila TONGUE BLISTER NI MWANAUME LIJALI..!! He is only an Aminal man!!!

Swala la kupima halina maswali kwangu kwani sinatabia kama zako.

Na sina VIRUS VYA UKIMWI na ushauri wa Nurse sio Dr. niendelee kuwa na mpenzi mmoja nikizidiwa sana na kutoka nje kwa binti mwingine nitumie KONDOMU..!

Nyani halioni kundule ukimaanisha nini ? Mkuu nilidhani tupo wote kumbe wakati mwingine unaangukia kwenye ZEU SWEET..! Ilewa HOJA !! Wk end njema!!!!
 
ndugu zangu kwanza natanguliza samahani zangu kwa yule yeyote nitakae kwenda kumkwanza kwa njia moja au ingine.!!

mr. Liyumba ni mfanya kazi wa benk kuu ya tanzania bot , kazi ambayo labda kutokana mazingira yake ilimpa mwanya wa kuweza kujipatia kipato kwa njia zisizo halali, mimi si husiki huko na siwezi kumhukumu kwasababu sina hata ule uhakika wa kile kilichotendea hadi kumpelekea kufunguliwa mashtaka kwake kwa kuliingizia taifa hasara za mamilion ya shilingi. Hainihusu sana hii..!!

mr liyumba kwa tetesi ambazo pia sina uhakika wa asilia mia nasikia alijihusisha katika vitendo vya kufanya ngono na baadhi ya dada zetu na kuwanunulia magari aina ya rav 4 nyekundu.! Kama baadhi ya post zilizopita zilivyokuwa zikizungumzia .

jambo hili nimelifikiria kiundani nikaja kujridhisha kwa majibu kwamba mr. Liyumba kama binadamu wengine ana haki ya kufanya kile ambacho anaona kwake ni sawa na anao uhuru wa maisha yake na matumizi ya fedha alizo nazo kufanya kile aonacho yeye ni sawa pasipo kumdhuru au kuvunja sheria za nchi. Labda naweza kumhukumu tu endapo itakuja kugundulika kwamba aliyafanya hayo kwa makusudi akijijua kwamba yeye ni mwathirika au kwa kuwakomoa dada zetu.

vingine sitoweza kumhukumu kwani wenye kufanya mapenzi na wanawake wengi na kuwahonga magari,fedha na hata nyumba na vitu vingine ni wengi miongoni mwetu.

binadamu tumeumbwa na kutofautishwa na wanyama kwasababu tumepewa uwezo wa kutambua yaliyo mazuri na mabaya , tumepewa uwezo wa kufikiri mambo tofauti na wanyama wa polini.

mr liyumba yupo mahabusu ..hupangiwa siku za kwenda kusikiliza mashitaka yake mahakamani.

je dada zangu walionunuliwa rav 4 nyekundu ni wangapi huenda kusikiliza mashitaka ya mr liyumba siku hizo ambazo hupandishwa kizimbani ?
Ukishajua idadi then what next au unafikiri muathirika ni Liyumba tu?
 
Hahaaaa!! Mkuu kwa hoja hii kama ningelikuwa mwanamke na kisha ningelikuwa na uhusiano na Liyumba ninge kwenda kusikiliza kwani yeye ni binadamu kama binadamu wengine..Haja tenda kosa la kumtenganisha na ubinadamu..!!

Ila TONGUE BLISTER NI MWANAUME LIJALI..!! He is only an Aminal man!!!

Swala la kupima halina maswali kwangu kwani sinatabia kama zako.

Na sina VIRUS VYA UKIMWI na ushauri wa Nurse sio Dr. niendelee kuwa na mpenzi mmoja nikizidiwa sana na kutoka nje kwa binti mwingine nitumie KONDOMU..!

Nyani halioni kundule ukimaanisha nini ? Mkuu nilidhani tupo wote kumbe wakati mwingine unaangukia kwenye ZEU SWEET..! Ilewa HOJA !! Wk end njema!!!!

Copied!!! Sorry kama imeuma lakini sikuwa na nia hiyo!!
 
Kuwa mwanaume Rijali/Lijali haikutoi katika hatari ya kuambukizwa Tongue Blister. Usisahau mtandao wa ngono. Jisemee moyo wako hata huyu Mpenzi wako mmoja usimwite muaminifu mwache yeye aseme. Anaweza kuwa mwaminifu machoni pako kumbe pembeni kuwa Wanaume wengine Rijali wanamega. Ya watu tuwaachie wenyewe. Kama wanamtembelea au hawamtembelei wewe yanakuhusu vipi? Mikataba kama ilikwisha muda wake wewe umekuwa wakili wake kuulizia habari zao?
 
Back
Top Bottom