Aisee... Mkuu umeongea kitu cha kufikirisha sana... In case of simba na yanga naweza sema mm nimependa jina "SIMBA" ikiwa ni moja ya mnyama mwenye sifa nyingi za kishujaa mwituni na muonekano wake mzuri kwa ujumla.
Pia nmependa rangi "NYEKUNDU" coz hii pia inatafsiri nyingi tofauti tofauti za...
Habari zenu wanajukwaa?
Hii ni kwa wale wapenzi wanaopenda kusikiliza beats mbalimbali za ngoma kali..
Beats nyingi ambazo zipo mtandaoni ni za ngoma za nje ya Tanzania tu, Za TZ ni chache sana japo kuna ngoma kali zinatengenezwa bongo na zina beats kali sana
Hivyo basi, Kwa wake wapenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.