Search results

  1. M

    Nchimbi anaibua Mazuri ya Serikali dhidi ya Mabaya Machache, Makonda anaibua Mabaya Mengi dhidi ya Mazuri machache kati yao nani Bingwa wa Siasa?

    Wanajamvi nimefuatilia kwa karibu Ziara zote mbili za Chama cha Mapinduzi zilizofanyika hivi karibuni,ya kwanza ni ile ya Mwenezi Mstaafu Makonda peke yake akiwa na Serikali aliyoita Back to Back na ya pili hii ya Nchimbi akiwa na Sekretarieti ya Chama. Nilichokiona Binafsi Ziara ya kwanza ya...
  2. M

    Hizi kodi zinalipika vipi jamani?

    TRA kuweni serious ! Kwenye Mshahara wangu wa mwezi nakatwa kodi na madudu mengine karibu nusu ya Mshahara kabla sijaupokea, nafungua Biashara mnataka Kodi kabla sijaanza,Mwenye Nyumba ya Biashara anataka Kodi kabla sijaingia. Mwenye Nyumba ya kuishi anataka kodi kabla sijaingia,Manispaa...
  3. M

    AIBU: Abiria wa Mwendokasi wamekwama Posta kwa sababu hakuna Umeme hawawezi kukata tiketi

    Wanajamvi, Leo tarehe 09.04.2024 muda huu wa jioni nimetoka kituo cha mwendokasi cha Posta ya zamani kumpeleka wife, nimekuta abiria wamejazana hapo eti kwasababu hakuna umeme Kituo hakiwezi kukata tiketi. Hii ni aibu kwa nchi, katika karne ya 21 watu wanakwama kusafiri kwasababu ya Umeme...
  4. M

    Nifanyeje? Huyu msichana kanifanya nishindwe kabisa kushiriki tendo la ndoa

    Daaah! Wazee kuna baadhi ya wanawake sehemu zao za siri zinatoa harufu. Najiuliza wakati nakutana naye alifichaje ile harufu bado sipati majibu Mazee. Wanajamvi nikiri nilikutana na demu nikatongoza kwa picha za Filter, nilipokutana naye nikamuona yuko tofauti kidogo ila kwasababu ya umalaya...
  5. M

    Kuna kitu sijakipenda kwenye Mazishi ya Mwinyi

    Ni kuhusu umoja wa kitaifa katika Matukio kama haya ya kitaifa. Niliona limetokea kwa Lowassa nature ikalirekebisha ila nashangaa tena kwa Mwinyi limejitokeza tena. Naona Mama anapambana sana kuhusu 4R ila wasaidizi wake inaonekana hawako tayari au bado wanaishi katika ulimwengu wa hofu. Mzee...
  6. M

    Ushauri:Baada ya Makonda kumaliza Back to Back ya kuwashambulia Watumishi aanze Back to Back ya kuelezea Mema waliyoyafanya pia.

    Nchimbi ni akili kubwa sana aliposema Watumishi wa Umma siyo maadui wa chama tafsiri yake ametumia hekima ya wazee wanaosema Mkeo akikosea anasemwa chumbani siyo hadharani,Kuku wako Manati ya nini wakati jioni anaingia Bandani. Anachokifanya Makonda kwasababu ni populist kinawezekana kikampa...
  7. M

    Tafakuri: Haya Majiko ya Gesi wanayogawa Wabunge kila kona yanatoka wapi?

    Wanajamvi sijui kama na nyie mnaona au ni mimi tu,nimekuwa nikifuatilia kwa muda sasa naona Wabunge wanagawa sana Majiko ya Gesi majimboni mwao. Ninachojiuliza ni kwamba wanaigana au wanakubaliana kuwa ndiyo zawadi nzuri au kuna maelekezo au kuna sehemu wamepata majiko hayo kwa fadhila au ni...
  8. M

    Kwenye Sheria za Uchaguzi CCM tusome alama za nyakati

    Wanajamvi actually mimi kama Mwana- CCM nimejisikia Vibaya kuona maoni mengi ya Wadau yanakuwa ni maoni yanayopiganiwa na CHADEMA. Hii kwa Great Thinkers tafsiri yake ni kwamba CHADEMA ndiyo inaonekana kubeba Agenda za Wananchi kitu ambacho siyo ishara nzuri kwa chama chetu, sisi ni Chama...
  9. M

    DOKEZO IGP Wambura tunaomba ingilia Kati hili linaloendelea kwenye hiki Kituo cha Polisi Tabata Relini

    Tuma timu yako kwa namna inayofaa leo tarehe 01.10.2023 wakajiridhishe namna Trafic wanavyokomoa Madereva hasa wa Bajaji katika eneo hilo. Leo nimepita Mandela Road Dar es Salaam nimeona operesheni kali madereva wa Gari wanakamatwa na wengine watu wazima wanafokewa na kujibiwa vibaya kwa...
  10. M

    TUCTA ni kama imeaga Dunia, haisikiki kusaidia wafanyakazi kwa jambo lolote!

    Si kumuita tu Daktari kuthibitisha tusije tukazika kumbe kazimia? Ila kuzimia gani huku hadi hiki kishindo cha sintofahamu ya kupanda Mishahara ya Watumishi wa Umma mwezi huu ashindwe kuamka? Tushirikishane kabla ya kufanya uamuzi wa kuzika au kusafirisha.
  11. M

    Hata Real Madrid huwa anafungwa

    Wachambuzi wa Soka Tanzania na Watanzania ni Wanafiki sana wengine washakuwa Wachawi. Kwanini kufungwa Yanga kiwe kitu cha ajabu kiasi hicho?Kila kona kelele na uchambuzi mavi usio na kichwa wala miguu, kila kona unakuta Mchambuzi anaharishia watu. Hakuna Mchambuzi wa kumchambua Nabi hapa...
  12. M

    HITIMISHO: Kilichomuingiza Membe Mioyoni mwa Watanzania ni uwezo wa kumkabili Magufuli

    Narudia tena Watanzania ni Wanafiki sana wanajua mema na mabaya ila wanayaficha Moyoni.Wanasiasa msidanganyike na Maneno ya Watanzania fanyeni kilicho sahihi muingie mioyoni mwao. Bernard Camilius Membe ndiyo mwanaume pekee ndani ya CCM aliyeweza kusimama dhidi ya baadhi ya Matendo Magufuli...
  13. M

    Huyu Dkt. Muchunguzi anafanya shughuli gani?

    Leo nimecheka sana, hii ni Press Conference yake ya pili naiangalia anazungumzia Katiba Mpya na kumjibu Lema mambo ya Bodaboda naona kama ni Comedian. Hapo nyuma niliangalia nyingine akitoa Hitimisho la Mgogoro wa Mchungaji Kimaro wa Kijitonyama nilimaliza kuangalia nikiwa Mgonjwa kwa kucheka...
  14. M

    CHADEMA wakishajenga Ofisi, ACT Wazalendo mtakuwa na Agenda gani nyingine ya kuwaambia Wananchi?

    Hiki chama mamluki kilichosheheni wasaliti kinatumia muda mwingi sana kuishambulia CHADEMA badala ya kunadi sera za maana kwa Wananchi. Kwa muda mrefu sasa agenda yake kuu imekuwa kuisakama CHADEMA hasa mambo mawili ya Ofisi na juzi nimeona unafiki wa kiongozi wake akizungumzia kiaina ukomo wa...
  15. M

    Mnaomiliki au wenye ujuzi na Gari la Volkswagen Touareg nawaomba

    Nahitaji msaada Mama yangu ameagiza VW Touareg Model ya kwanza 2002-2006,3.2 Engine V6. Ila cha kushangaza baada ya kutembea wiki 2 Taa ya Check Engine imewaka. Ameenda kwa Mafundi wameiangalia wanasema haina tatizo ni mafuta ya Bongo ndiyo hayana Viwango, nataka kufahamu wenye Gari kama hizo...
  16. M

    Serikali ianzishe Mamlaka ya Usimamizi wa Makanisa

    Ni vyema kuanzisha Makanisa kwa lengo la kusambaza Injili ila kinachosikitisha sasa hivi kuna kundi ambalo limevamia eneo hili nyeti kutokana na aidha ugumu wa Maisha, tamaa ya utajiri, uelewa mdogo, ukosefu wa ajira au kutumika na Shetani wanaanzisha Makanisa lakini ndani yake wanaharibu...
  17. M

    Afande Sele anakosea kumfananisha Hayati Magufuli na Samia

    Labda kwenye mambo mengine ila kwenye siasa uchambuzi wake unaonyesha upeo wake ni mdogo sana. Nimemfuatilia hivi karibuni inaonekana anampenda Magufuli na Madikteta wengine kama anavyowatolea mifano wakina Hitler, Mussolin nk, ila anakosea sana anapofananisha tawala mbili za Magufuli na Mama...
  18. M

    Watendaji waanza kulalamika kutoswa na Madiwani wao, wawashukuru Wabunge

    Leo nimepita kona fulani ya jiji moja kubwa nikakuta malalamiko makubwa ya Watendaji dhidi ya Madiwani wao kuwa wanawachukia na hawana muda na changamoto zao kabisa pamoja na kuwasaidia kuingia Madarakani. Wanalalamika kuwa Wabunge ndio kidogo wamekuwa wakiwapigania Bungeni ila Madiwani walioko...
  19. M

    Hotuba za Mikutano ya Hadhara: Mpaka sasa Mnyika anaongoza akifuatiwa na Heche

    WanaJamvi nimefuatilia Hotuba za Mikutano yote ya hadhara iliyofanyika baada ya Mama Samia kuifungua. Kwa maoni yangu mpaka sasa Mnyika anaongoza kwa kutumia nafasi hizo vizuri. Ukimuangalia kwa muda mchache anaopewa anaongea point tupu na kugusa mambo ya Msingi ikiwemo Katiba Mpya, Maisha ya...
  20. M

    Hii siyo Karma? Na kama ni Karma kiroho ina Ujumbe gani?

    1.Mwendazake aliyetaka kushuhudia kifo chake kibao kimegeuka yeye ndiyo kashuhudiwa kifo chake. 2.Spika aliyemfukuza Bungeni na kuzuia haki zake kapoteza kiti kwa aibu na aliyemfukuza anashuhudia kwa macho yake akiadhibiwa. 3.Chief Hangaya mtu pekee aliyeenda kumuona Hospitali Nairobi anarudi...
Back
Top Bottom