Siku hizi ukiingia kwenye mitandao ya kijamii utakutana na manung'uniko mengi kutoka kwa watu hususan sisi wazawa wenye rangi nyeusi yakituhumu ubaguzi katika kutoa huduma kwa wateja wenye ngozi nyeusi kwenye hii mighahawa ya kitalii.
Ukisoma maoni kutoka kwenye malalamiko ya mtoa hoja unakuja...
Je wanawake wanaweza kufurahia mahusiano mapya ya wenza wao walioachana?
Kwa watu wenye mahusiano au wanandoa kuachana ni jambo gumu sana katika Maisha hususan kwa wanawake hasa ikiwa katika mahusiano hayo au ndoa hiyo kuna mtoto. Ni jambo gumu kwa sababu kwa mwanamke atalazimika kuwa na...
Nimekuwa nikihudhuria sherehe mbalimbali za harusi hapa jijini Dar ambapo nimekuwa nikishuhudia vijimambo mbalimbali vya kufurahisha na wakati mwingine vya kusikitisha.
Nakumbuka Niliwahi kuhudhuria sherehe ya harusi ya jamaa mmoja ambaye nadhani hali yake hali ya familia yake kiuchumi haikuwa...
Ngoja niwamegee kesi hii kati ya Hasumati dhidi ya Bashirihussein na mwenzie na ni kesi iliyoripotiwa katika ripoti za kisheria za Tanzania za mwaka 1983.
Je ilikuwaje?
Katika kesi hii Mama raia wa India alikuwa ndiyo mlalamikaji na alikuwa anamshitaki mkwewe na binti yake.
Kisa cha...
Visa na Vikasa ya Kesi Maarufu Duniani na Hukumu Zake ni mwanzo wa vitabu nitakavyokuwa nikivitoa kwa awamu ambapo vitabu hivyo vitakuwa na mkusanyiko wa kesi mbalimbali zilizowahi kutokea katika nchi mbalimbali duniani na kuvuta hisia za watu wengi.
Katika kitabu hiki cha toleo la kwanza kuna...
Habari wapendwa wa JF.
Kile kitabu kilichokuwa kikisubiriwa kwa hamu na wasomaji cha VISA NA MIKASA YA KESI MAARUFU DUNIANI NA HUKUMU ZAKE kimetoka na kwa sasa kinapatikana Chuo Kikuu Mlimani Dar Es Salaam Taasisi ya Kiswahili (TUKI) kwa bei ya TZS 10,000/=
Kwa wale wanaokihitaji wanaweza...
Ni ushauri tu kwa wale wanaopenda kupita humu na kudokoa makala za watu na kuzitupia kwenye blog zao au kwenye magrupu ya Whattsup.
Baada ya kuona makala zangu ninazoweka humu zinasambaa hovyo na wengine wakijidai ni wao ndiyo waandishi wa makala hizo hivi sasa nimesajili makala zangu zote...
Ngoja niwamegee kesi hii kati ya Hasunati dhidi ya Bashirihussein na mwenzie na ni kesi iliyoripotiwa katika ripoti za kisheria za Tanzania za mwaka 1983.
Je ilikuwaje?
Katika kesi hii Mama raia wa India alikuwa ndiyo mlalamikaji na alikuwa anamshitaki mkwewe na binti yake.
Kisa cha...
Inatokea mkeo au mpenzi wako anasumbuliwa na maradhi ambayo anatakiwa kumuona mtaalamu wa maradhi ya kike. Halafu kwa bahati nzuri unaye rafiki yako ambaye ni mtaalamu wa fani hiyo na anafanya kazi kwenye hospitali kubwa ya serikali. Je unaweza kuruhusu mkeo kwenda kumuona rafiki yako huyo...
Karibu asilimia 90 ya wanawake ambao nimekutana nao na wengine kuwaona mtandaoni wanapotoa sifa za wanaume ambao wangependa waolewe nao sifa inayopewa msisitizo ni ile ya mwanaume mwenye hofu ya Mungu.
Hii sasa imekuwa kama ndiyo slogan ya wanawake wanaotafuta wenza. Binafsi nimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.