Donald alikuwepo jana, kawatembelea na kaahidi kuwapa full support! Na siku si nyingi atarudi tena, wenzetu viongozi bado ile roho ya huruma ipo kiasi flani.Haya majanga ni kumuomba Mungu yasitokee kwetu, madhara yanakua makubwa sana na Siasa zinaingia, mara utasikia michango ya watu kuhusiana na maafa imepangiwa kazi nyingine na kadhalika
Hahahh huku wanajenga kwa mpangilio ni vile tu huwezi kushindana na Mother Nature!Ingetokea bongo ungeambiwa wanaoishi mabondeni wahame.na nyumba zibomolewe.
Ila huko sijaona nyumba kubomolewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo viongozi watanzania wajue.mafuriko hayana dawa.hata marekani penye maendeleo ya miundo mbinu mafuriko yanatokea.Hahahh huku wanajenga kwa mpangilio ni vile tu huwezi kushindana na Mother Nature!
Unawaza ujinga tu,,,watu wamepata matatizo we unawaza upupu.Hakuna zile zapendeza kwa macho toto za kike zimelowa? au sketi kufunuliwa na kimbunga??