Endowment fund ni nini?
Kwa kifupi, ni mfuko ambao fedha za za michango na misaada kwa chuo huwekwa na kuwekezwa sehemu mbali mbali ili zizalishe faida. Hiyo faida inatumika kutunza thamani ya huo mfuko na kufadhili shughuli za chuo kama tafiti na ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wenye vipaji au...
Kwenye makala ya hawa jamaa tunaona Dar es salaam ya zama hizo, barabara ya Dar kwenda Kilwa, Reli ya Dar Kigoma, meli ya MV Mwongozo zama hizo na mengine mengi. Kweli tumetoka mbali.
Hebu tuambie, unakumbuka nini cha enzi hizo? Ulikuwa wapi? Unadhani jambo gani limebadilika kwa kiasi kikubwa...
Nadhani sote tunafahamu kuwa suala la huduma kwa wateja kwa asilimia kubwa ya biashara, mashirika na ofisi za umma ni janga la taifa.
Unaweza kufika kwenye biashara ya mtu na ukaishiwa kupata maumivu mpaka ukajiuliza kati ya wewe mteja na mwenye biashara nani mtafutaji. Watoa huduma wanatoa...
Majirani zetu wa Kenya wameanzisha programu ya kuwafundisha na kuwawezesha vijana wao kupata skills na miundombinu ya kufanya kazi kwa kutumia mitandao.
Kwenye program hiyo mamia ya vijana wamefundishwa utaalamu wa kucode, kuresearch, coprywriting na kazi nyingine kibao ambazo watu wengi wa...
Moja kati ya vipengele vya sheria mpya ya vyama vya siasa ni kwamba mtu akihama chama ndani ya miaka miwili kabla ya uchaguzi basi hatoweza kugombea nafasi za uongozi.
Sasa swali linakuja, kuhama chama kuna maana gani?
Kwa nilivyoelewa, mtu kuhama chama kunamaanisha mwanachama wa Chama A...
Baada ya kuangalia kipindi cha Straight Talk Africa, ambapo Mh. Tundu Lissu na Balozi Wilson Masilingi walihojiwa, nilishangazwa na jinsi Balozi wetu huko Marekani alivyopwaya na kupata tabu kujielezea kwa Kimalkia na pia kushindwa kudhibiti jazba zake.
Nilidhani pengine ni Kimalkia tu...
Habari!
Naomba mnisaidie kupata jina zuri la shule.
Shule ni ya sekondari kuanzia O'level mpaka A'level,dini zote (non-denominational),jinsia zote (co-ed),kutwa na bweni na ipo Bagamoyo mkoa wa Pwani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.