Search results

  1. 2025DG

    Nimeyamiss mapenzi ya Ujana wangu

    Habari. Siku naanza balehe nadhani hiki ndo kipindi ambacho binadamu anayaona na kuyaenjoi mapenzi kuliko kipindi chochote kile duniani. Ila kwa umri tulionao hakuna binadamu aliyepita umri wa kubalehe na akayaona mapenzi matamu sana kama enzi nzetu zile. Leo hii tunafanya mapenzi...
  2. 2025DG

    Wanafunzi wa sekondari wamnunulia mwalimu wao baiskeli

    Ni hisia za furaha zilizopitiliza hadi kuleta machozi katika mashavu ya Emmanuel Kipaho ambaye ni mwalimu katika Shule ya Sekondari Chamwino mkoani Dodoma baada ya kupewa zawadi ya baiskeli na wanafunzi wake. Tukio hili linarandana na msemo unaosema ‘chanda chema huvikwa pete’, naam! Hivi...
  3. 2025DG

    Wanaume mnaelekea wapi na ndoa zenu?

    Habari, Mimi kidogo ni mfuatiliaji wa Facebook. Kuna kinachoendelea kwenye page ya jamaa mmoja anayejiita Dr. Harris Kapiga akitoa yake ya moyoni. Ameweka namba na wanawake waeleze yaliyo moyoni mwao katika Ndoa. Wengi wao wasichana wenzangu wamekuja na madukuduku yafuatayo; 1. Usaliti...
  4. 2025DG

    Karibu Tujadiliane.

    Mambooz. Kwenye mapenzi kuna mambo mengi ebu niambie kipi kilisababisha ukawa fundi wa mitindo.
  5. 2025DG

    Wanaume nawaomba muoe na muache kutupiga sisi

    Mwanaume. Nyie ndo nguzo za familia na kichwa cha familia . Ila niko na machache nataka kuongea na nyie kama mihimili naona mnakosea. Najiuliza imekuaje wanaume tunaowapenda kuwathamini tunatoa muda wetu kwenu Ila hamtaki kutuoa. Yaani nikipika chakula kwako,nikakufulia nguo ukinipa mimba...
  6. 2025DG

    Kipi unafurahia katika mapenzi?

    Hello, Kipi unaenjoy sana na zaidi katika ulimwengu wa mapenzi/kunyanduana? [emoji42]Always romance naenjoy. [emoji2956]Orgasim (kufika kileleni).
  7. 2025DG

    Kuna anayemuelewa GENTA

    Huyu member anayejiita GENTAMYCINE, dawa ya minyoo kila kitu anakijua yeye. Michezo Mapenzi Siasa Mziki Usalama Matukio yanayotokea kwa Mwamposa Chakula na mapishi Urembo Yuko kila mahali na kila kitu mjuaji. Nilitaka kujua nani anamfahamu zaidi jamani, nimeshindwa kumuelewa?
  8. 2025DG

    Wanaume badilikeni jamani

    Jamani. Imekuaje tena wanaume mmeacha kupenda kama wazazi wetu wa zamani. Upendo wa baba zetu ulikuwa wa kweli, ilikuwa ni ngumu kusikia mwanamke analia kwa habari za kupigwa, kuchitiwa, kunyanyaswa. Ila wanaume wa sasa, hawako romantic mwanaume hawezi kubembeleza. Mwanaume anachojua kojoa...
  9. 2025DG

    Wanaume iweje mtuone malaya tukiwaomba hela

    Hello. Inakuaje mwanaume analala na wewe. Hakuna sarufi mbovu anakuachia asubuhi je ukimuomba Unaonekana malaya.
  10. 2025DG

    Hii tabia inakera kwenye daladala

    Inakuaje mtu unafungulia muziki au mahubiri kwenye gari ya daladalatena kwa sauti kubwa. Kwani nani kasema anataka kusikiliza unachosikiliza si ununue Earphone.
  11. 2025DG

    Lita Elfu 20 zaokolewa kwenye ajali ya lori la mafuta kuungua moto Ubungo

    Kufuatia ajali ya lori la mafuta kuungua moto siku ya jana eneo la Ubungo Kibo Dar es Salaam, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Kinondoni limesema kuwa zaidi ya lita elfu 20 za mafuta ziliokolewa kati ya lita elfu 39,500 zilizokuwa ndani ya lori hilo. Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa...
  12. 2025DG

    Kipi hautaweza kufanya katika ulimwengu wa mapenzi?

    Habari. Jambo gani hautakuja kuthubutu kufanya kwa upande wa mahusiano yako au katika ulimwengu wa kula kimasihara. Kuzama chumvini na kula kwa mpalange sitaweza hadi nakufa. Tuambie kipi hauwezi kwenye upande wa mapenzi.
  13. 2025DG

    Mshauri Mwanao au ndugu yako asome course hizi za Afya

    Habari. Kwa Wale wenye mpango wa kusoma afya. Naomba nitaje course zisemi zinaajira Ila kwa mwenye upeo wa mbali hizi course zina fursa Sana hasa upande wa afya. Course hizo ni. 1. BIOMEDICAL ENGINEERING 2. PHYSIOTHERAPY. 3. OCCUPATIONAL THERAPY. 4. NURSE ANESTHESIA. 5. RADIOLOGY 6...
  14. 2025DG

    Nina maswali juu ya mtume Mwamposa

    Habari. Kwanini mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa 1. Hafungishi ndoa? 2. Hafanyi ibada ya mazishi? 3. Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha?
  15. 2025DG

    Kuna mwenye undani wa ROSE & NICK SHABOKA?

    Hello. Msije kusema na wasema watumishi wa bwana. Ila Tupo hapa kwa ajiri ya kujenga na jf ni sehemu pekee mtu anaweza kupata picha ya mambo ya watu wengi wasioyajua. Kuna rafiki yangu mmoja amenishauri niende kusali kwa Rose&Nick SHABOKA. sasa nimefuatilia mahubiri yao mtandaoni naona kama...
  16. 2025DG

    Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

    Nani anamfahamu vizuri pastor Tony kapola. Kanisa lake liko wapi ? Nilisikia liko morogoro kutwa yupo Dar,dodoma Kwanini waumini wake na mke wanavaa nguo za ovyo ? Inakuaje ameungana na hawa manabii wa uongo matapeli wa zimbabwe ?
  17. 2025DG

    Wizara ya Afya imeonesha udhaifu Mkubwa katika ajira zao

    Habari. Mchakato wa ajira zilizotolewa kwa kibali cha Raisi wa Jumhuri ya muugano wa Tanzania. Majina yaliweza kutolewa siku za hivi karibuni lakini kiukweli kumekuwa na malalamiko makubwa katika majina yaliyotolewa . Nitaambatanisha Hoja zinazoongelewa zaidi na jamii ambazo hazikukizi...
  18. 2025DG

    Utakuja kuijua tabia ya mke wako endapo utamuoa

    Habari. Matarajio ya maisha tofauti na uhalisia wenyewe. Ukitaka kujua rangi zote za mwanamke ,tabia zote zuri na mbaya usizingatie sana kwenye mahusiano maana hapo kuna kuwa na unafiki fulani , Ila Weka ndani kaa nae mwaka hadi miaka mitano baada ya hapo nadhani utakuja kutupa mrejesho...
  19. 2025DG

    Mapenzi ya sasa hayana ladha

    Wanan jf. Kwa sasa wanawake wetu mtaani wamekuwa warahisi sana katika kututunuku Tunda. Yaani kwa miaka ya zamani ,ilikuwa inatumia muda mrefu sana katika mchakato wa kutongoza hadi kufika hatua ya kuchakata papuchu. Ila Leo hii ukimtongoza mtoto asubuhi jioni tayari. Leo mapenzi yamekuwa...
Back
Top Bottom