Mshauri Mwanao au ndugu yako asome course hizi za Afya

2025DG

JF-Expert Member
Jan 30, 2023
508
1,429
Habari.

Kwa Wale wenye mpango wa kusoma afya.

Naomba nitaje course zisemi zinaajira Ila kwa mwenye upeo wa mbali hizi course zina fursa Sana hasa upande wa afya.

Course hizo ni.

1. BIOMEDICAL ENGINEERING

2. PHYSIOTHERAPY.

3. OCCUPATIONAL THERAPY.

4. NURSE ANESTHESIA.

5. RADIOLOGY

6. DENTAL OF DENTAL SURGERY(DDS)

7. OPTROMETRY.

8. AUDIOLOGY AND SPEECH PATHOLGY.

Sijataja course za Medicine ,maabara,nurse hizi ni potential Ila mtaa umeshatema Sana.

Competition imekuwa kubwa
 
Wengine wanatushauri tuwepeleke veta watoto veta baadala ya chuo kikuu
 
Kusoma chuo kikuu ni kupoteza mda kwa ss n bora ujikite kwenye ufundi wa veta maisha yanaweza kuwa simple kinyume na hapo vijana wengi watajiua kwa kutegemea makubwa baada ya kuhitimu halaf hamna ajira me nawaambien kama hamtaki haya kasomeni izo degree sie tuko mtaani huku
 
Kila mtu ana nyota yake mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom