Search results

  1. Michael mbano

    Naomba mnifahamishe vigezo vinavyopaswa ili mtu ateuliwe kuwa kiongozi wa mbio mwenge?

    Habari.Naomba kufahamu ni vigezo gani hutumika kumpata kiongozi wa mbio za mwenge?
  2. Michael mbano

    Jambo hili naliona peke yangu tuu?

    Kumekuwa na mfumuko wa nyimbo za dini hasa kwenye baadhi ya makanisa ya walokole ambazo hata hazijengi muumini kiimani na kumfanya awe mtulivu kutafakari bali zinamfanya mtu acheze kama burudani na zinawezakuhamasisha anasa kutokana na staili yake ya uimbaji na uchezaji.Nyimbo zinaimbwa kwa...
  3. Michael mbano

    Hii ndiyo maana ya kustaafu?

    Mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha Jenerali Mkunda kasema Jenerali Mstaafu Mabeyo ataendelea kumteua ktk majukumu mengine, na akasema leo hii Katibu Mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine. Je, ipi maana ya kustaafu ?
  4. Michael mbano

    Ili uzi udumu muda mrefu humu kuna vigezo gani?

    Jana nimeweka uzi humu nikihoji kwanini ofisi nyingi za ujenzi kwenye wilaya au manispaa hazipo ktk mwonekano mzuri? Kuanzia majengo. Je serikali haioni?
  5. Michael mbano

    Sabaya anaonekana kama mtu anayejuta na aliyejawa kisasi

    Nimemfahamu sabaya mara alipata mamlaka nikawa naona mwonekano wake wa kujiamini akiwa ktk utendaji na mahojiano kwenye vyombo vya habari. Lakini mwonekano wa sasa kwa macho namwona akiwa ktk hali tatu. Anajuta sana, amejifunza maisha halisi ya kitaa na mwonekano mwingine anaonekana mwenye...
  6. Michael mbano

    Ipi mipaka ya Mkuu wa Wilaya huyu kwanini ana vitisho?

    Nimepita mahala ktk wilaya fulani nimeisahau jina ila katika mkoa wa njombe mkuu wa wilaya anahutubia,na mkutano huo umeitishwa ghafla tu ktk siku ya leo ambayo inasemekana ya mazingira duniani. Wamepita wagambo kuwambia wafanyabiashara kuanzia wakubwa hadi wadogo wafunge waje kumsikiliza...
  7. Michael mbano

    Niwape angalizo na mlichukulie hatua Serikali

    Msimu wa kuuza mahindi unakaribia nimesema mahindi mana huku ndiko kwenye purukushani. Wakati huo kunakuwa na vimipenyo vingi vya rushwa kwa wenye vitengo vya kupokea mahindi ktk magodawni ya serikali, pia unakuta nafasi ya vikundi vya wakulima kupeleka mahindi kwa kipaumbele lakini hakuna...
  8. Michael mbano

    Kampuni za mabasi, ni vema kumwambia abiria gharama ya mzigo wake wakati anapanda basi

    Zipo baadhi ya kampuni za mabasi wahudumu wake wanakosa sifa za huduma bora ili kuepusha migogoro. Mfano kuna kampuni inaitwa Kisumapai ya Songea, kuna siku nimesafiri nimepokelewa na mhudumu aliyevaa tishet yao akaweka mzigo wangu kwenye buti. Wakati huo mkatisha tiketi wa kampuni hiyo anaona...
  9. Michael mbano

    Wazazi wa watoto waathirika wa ulawiti kufunika nyuso zao wakati wa mahojiano ina maana gani?

    Kuna Mwalimu wa day care amelawiti watoto sasa wazazi wa waathiriwa wakati wanahojiwa wamefunika sura, hii ina tafsiri gani wakati wakienda Mahakamani kama walalamikaji au mashahidi watakuwa wazi au wanamwogopa mlawiti? Pamoja na mawazo yenu nafikiri vema kujiamini ktk kulaani jambo hili.
  10. Michael mbano

    Nimepita wilaya fulani nimeona mapungufu haya kwenye vibao anuani za makazi...

    Kazi ambayo serikali imechukuwa muda kuiratibu lakini imetendeka ktk kiwango cha chini au kinachostaajabisha. Anuani ya makazi unakuta wilaya nzima vibao vimeandikwa kwa majina ya watu hivi ilishindikana kabisa kufatilia kujuwa jina la mtaa la asili? Au kuna watu walitaka kujitafutia umaarufu...
  11. Michael mbano

    Baadhi ya makabila yanamila hii sijuwi inamaana gani.

    Baada ya mazishi hutangaza pale makaburini tanga ndg litakuwa kesho na siku hiyo watanyoa ndg,jamaa na marafiki.Swali langu kule kunyoa kuna maana gani?Wajuvi karibuni.
  12. Michael mbano

    Mnaofahamu mtufahamishe tusiyojuwa

    Kwanini wahubiri,manabii wengi wanapohubiri pembeni yao au nyuma kunakuwa na walinzi(bordguard)hii ni kwa sababu ya nini wakati wao wanaulinzi wa Mungu? Mana mitume wa enzi hizo walitegemea ulinzi wake tu je hawa hawaamini ulinzi wa Mungu?Karibuni
  13. Michael mbano

    Napongeza tahadhari ya TMDA lakini...

    Wametoa tahadhali kuhusu dawa za nguvu za kiume zinaleta vifo vya ghafla.Lakini hawajasema aina gani za dawa hazifai ili watu wawe mbali nazo. Na wangetoa ufafanuzi dawa za nguvu za kiume ninini? Kwa uelewa wangu dawa hatari ni zile zinazosisimuwa mishipa ya damu kwa haraka mara tu baada ya...
  14. Michael mbano

    INAUMA SANA HUU UTARATIBU MBOVU.

    Huu utaratibu wa kuwakata hela yao wapangaji wanaponunuwa umeme unawatesa wapangaji,kwakuwa wananchi wapole na wanalia na machozi yanaishia ndani ndiyo mana hamjali?Juzi nilikuwa wananunuwa umeme wa5000ukagoma,nikaongeza wa 1000 ukagoma.Nikaweka 12000ndipo wakakubali tena umeme wa2000tu ile...
  15. Michael mbano

    Utaratibu wa kuwakata Wapangaji hela kila wanaponunua umeme, unauma sana

    Huu utaratibu wa kuwakata hela yao wapangaji wanaponunua umeme unawatesa wapangaji, kwa kuwa wananchi wapole na wanalia na machozi yanaishia ndani ndiyo mana hamjali? Juzi nilikuwa nanunua umeme wa Tsh. 5,000 ukagoma, nikaongeza wa 1,000 ukagoma. Nikaweka 12,000 ndipo wakakubali tena umeme wa...
  16. Michael mbano

    Nimemkumbuka huyu, yupo wapi?

    Kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa dj DON NAMILISON yupo wapi sasa?Nakumbuka maandiko yake ya kutisha,kejeli,kujiamini na mara ya mwisho akasema anataka kwenda nje.Yu wapi huyu.
  17. Michael mbano

    Ushauri kwa serikali. Na wakati wao wanatafakari nasi tuendelee kupaza sauti

    Habari ndg wanajf. Napenda kuishauri serikali ilichukulie umuhimu hili jambo ipunguze mishahara ya wabunge hadi kufika milion 5. Pesa ya mafuta na service ibaki palepale ila mafuta na hela ya service iwe inakaguliwa kama imetumika ipasavyo. Pia ile ya mfuko wa jimbo ni vema wakaongezwa watu...
  18. Michael mbano

    Tafakari yetu kwa shule za msingi.

    Wiki hii nilikuwa kwenye matembezi yangu mtaani mzazi fulani akiwa hoi anatoka shamba akakimbiliwa na mwanaye mtoto akamwambia mzazi,kule shule wameagiza traksut mzazi akaonekana kuzidi kuchoka mana hali ngumu ya maisha inampiga na mtoto ndiyo hivyo.Ukimuangalia mtoto kavaa yebo ametoka shule...
  19. Michael mbano

    Degree tatu huwa zinakuwaje?

    Mtu anayekuwa na digrii 3 au zaidi je anakuwanazo ktk fani tofauti? Na je ipi maana ya phd kwa kirefu? Na masters nini na ktk hao yupi yupo juu? Nasubiri
  20. Michael mbano

    Ushauri kwa viongozi wote ktk nyanja zote najuwa mwajuwa ila nasisitiza

    Binadamu ni mtu anayependa kupata fursa ya kusema ili awe na amani,ndg viongozi msijisahaulishe wala kupuuzia mnapoongoza watu wapeni nafasi ya kujadili,kukosoa,na kushauri na haya yote yafanyike kwa uhuru kamili. Mimi nimewahi kuongoza ktk taasisi ya serikali nilipokuwa natenda haya mambo...
Back
Top Bottom