Search results

  1. O

    Je, Makocha wa timu za vijana ni matapeli au ni wachezaji wetu wagumu kuelewa?

    Wakuu jana nilipata fursa ya kuangalia mashindano ya under 20 kwa timu za ligi kuu kati ya azam na dodoma jiji. Kiukweli nilichokiona kilinisikitisha sana. Wachezaji wa under 20 kwa kawaida ungetegemea wawe na viwango kuonyesha wapo tayari kiuchezaji kutokana na umri wao. Lakini huwezi kuamini...
  2. O

    Timu za mkoani huwa zinakera sana ila basi tu!

    Sijui kwanini timu za mkoani zinapenda sana kutoka sare! Yaani neno ushindi kwao ni msamiati ambao haujazoeleka Hebu angalia mfano mechi ya jana ya yanga dhidi ya geita! Yanga form ilikuwa ipo chini mno yaani geita wangekuwa wana uchu wa ushindi wangeshinda mechi ya jana. Angalia mfano wa...
  3. O

    Simba wanatumia usafiri gani kutoka Tabora kwenda Mwanza?

    Wajuvi naomba mnijuze maana wote tunajua hizi timu kubwa huwa wanakula mwewe kwenye kila safari Je, simba kutoka Kigoma kwenda Tabora walitumia usafiri gani? Na kutoka Tabora kwenda Mwanza itatumia usafiri gani? Maana sina hakika kama ndege za Tanzania airways zinafika Tabora.
  4. O

    Dawasco hadi siku ya sikukuu maji hamna?

    Licha ya mvua kunyesha mfulululizo hadi kusababisha mafuriko baadhi ya sehemu. Huwezi amini wakazi wa gongo la mboto na viunga vyake hatuna maji wiki ya pili sasa Na hamna taarifa zozote mpaka sasa. Tulitegemea leo sikukuu labda maji yatatoka lakini hola. Tuoneeni huruma watanzania wenzenu...
  5. O

    Hivi kwanini timu ndogo za ligi kuu zinapenda sana kutoka sare?

    Wasalaam wakuu, hili suala nimeshaliona na kulifuatilia kwa muda mrefu sana. Nilichogundua ni kwamba hizi timu ndogo za ligi kuu bara huwa zinacheza kwa kutegeana ili zitoke droo na ikitokea timu moja imepata goli basi timu pinzani itapigana kutafuta goli la kusawazisha na wakifanikiwa kulipata...
  6. O

    Azam tatizo la kukabia macho ni kubwa mno

    Nikiwa kama shabiki wa Azam nimesikitishwa mno na perfomance ya timu Yangu hasa kwenye ukabaji wa timu Timu ya Azam linapokuja suala la ukabaji ni wachezaji wachache sana wanaotimiza wajibu wao inavyotakiwa Leo hii Yanga wamepata alama tatu kwa sababu ya wachezaji wa Azam kukosa nidhamu ya...
  7. O

    Azam fukuzeni magarasa wote kama mnataka kufanikiwa

    Watu wengi wamekuwa wakiwashutumu viongozi wa azam na benchi la ufundi kutokana na matokeo mabovu Lakini tukae tukijua tatizo la azam sio viongozi wala benchi la ufundi. Tatizo kuu la azam ni WACHEZAJI! Wasiojitambua wameletewa makocha wengi mno lakini matokeo yamekuwa yaleyale Sasa ni wakati...
  8. O

    Kwa mliowahi kufanya biashara ya workshop ya aluminium

    Wakuu habari za jioni? Samahanini kwa usumbufu nilikuwa naomba kujua mchanganuo wa hii biashara uko vipi? Je ni biashara ambayo bado inalipa au ishakuwa saturated? Nauliza hivyo coz kuna jamaa anahama mkoa kikazi anataka kuniuzia workshop yake na mimi sina abc za hii biashara. Nitashukuru...
  9. O

    INAUZWA External transcend 2 terabyte with 1800 movies inauzwa Mwanza

    Naam kama kichwa cha habari kinavyojieleza external bado mpya na ina movie 1800 inauzwa bei ni 150000 Location ni Mwanza Namba ya simu ni 0769248967
  10. O

    Noise pollution ya waendesha pikipiki ndani ya jiji la mwanza ni kero kubwa

    Hii imekuwa too much aisee ...nazungumzia hawa waendesha pikipiki ambao ekzozi za pikipiki zao sijui ni mbovu au wameziharibu makusudi ili ziwe zinapiga makelele ya kukera watu Yaani imekuwa ni kero kubwa hasa mida ya usiku watu hata kulala vizuri tunashindwa kutokana na hya makelele ya...
  11. O

    Elite class ya Tanzania ni hii hapa

    Elite class ya Tanzania ni watu wasiozidi elfu hamsini na ndio wafaidika wakuu wa keki ya taifa Wameshika nyanja zote za uchumi na kitovu chake kikuu ni kamati kuu ya chama cha mapinduzi. Wote hawa hawana njaa na hakuna mtoto anaetoka kwenye hii class akasoma kayumba school au akakosa ajira...
  12. O

    Madaktari ni nini suluhisho la kudumu la ugonjwa wa dermatitis?

    Wakuu habari za asubuhi? Ni muda wa miaka miwili sasa nimekuwa nikisumbuliwa na huu ugonjwa wa ngozi ujulikanao kitaalamu kama dermatiris au eczema. Nishaenda hospital zaidi ya mara tano na kuandikiwa dawa mbalimbali lakini umekuwa ukijirudia mara kwa mara Nimejitahidi kufata masharti...
Back
Top Bottom