Hivi unajua unaweza Kutimiza Malengo Yako kama utaamini unaweza kufanya hivyo na tofauti na hivyo itakuwa vigumu.
Kushinda au kushindwa kunaanzia ndani ya fikra zako.
Kabla ya kuona uhalisia wenyewe, Je, fikra zako ni za ushindi au kushindwa?
Kila mtu unayemuona kwenye dunia hii ana masaa 24...
Upweke ni tatizo kubwa hususani vijana, unashangaa upo online masaa 24 kwenye mitandao ya kijamii.
Lakini...
Huna muda wala ukaribu na mtu wa karibu yako pengine majirani zako, kwa kisingizio unaishi maisha yako hivyo wasikufate fuate, Kumbuka maisha bila watu hayana ladha.
Mitandao ya...
Mwandishi mmoja aliwahi kusema “Hakuna sumu yenye kuidhuru akili yenye mawazo chanya na hakuna dawa yenye kutibu akili yenye mawazo hasi” bahati mbaya sana akili za watu wengi zimetawaliwa sana na mawazo hasi kuliko mawazo chanya pia nakubaliana na msemo wa Brian Tracy “Badili namna unavyofikiri...
Msongo wa mawazo ni hali ya kuwa na mawazo mengi kichwani kwa lugha rahisi ni mawazo ambayo yamerudhikana kwenye akili na kufanya uone unashindwa kuamua au kufanya maamuzi nini ufanye kutokana na changamoto, vikwazo, magumu na matatizo ambayo unapitia kwenye maisha ya kila siku.
Inawezekana una...
Emmanuel Olumide mwandishi wa vitabu kutoka Nigeria aliandika kitabu cha “50 common money mistakes” kitabu ambacho ameelezea makosa hamsini (50) ambayo watu wengi hufanya kwa kujua au kutojua na kupelekea kupoteza fedha zao, inawezekena kabisa unapata fedha lakini hujui wapi fedha zako...
Mtaji mkubwa wa mtu ni watu kwa maana hiyo unahitaji kuwa na ujuzi wa kuishi vizuri na watu “Interpersonal skill” pasipo kujali upo wapi na unafanya nini; lakini kupitia makala hii utaenda kuwa mtu mwenye kuishi vizuri na watu na kufanya watu kuvutiwa na uwepo wako kwenye jamii yako, na amini...
MAKALA YA KIJANA WA KITANZANIA
Sehemu ya kwanza
Mwandishi: Innocent Abisai
Kijana ni nani?
Kijana ni mtu ambaye umri wake unaanzia umri wa miaka 18 mpaka 45(Mujibu wa sera ya maendeleo ya vijana ya mwaka 1996 na kufanyiwa mabadiliko mwaka 2007)
Taifa lolote asilimia zaidi 55%...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.