Search results

  1. O

    #COVID19 Fizikia katikati ya COVID-19

    Katikati ya mwezi wa tano mwaka 2020, dunia ilikuwa katika sintofahamu kubwa iliyoletwa kutokana na janga la corona. Ni kipindi ambacho ratiba pamoja mienendo mingi ya wanaaajamii duniani kote ilipaswa kubadilika ili kuendana na nyakati zile. Watu walipaswa kukaa mbali mbali(angalau mita moja)...
  2. O

    Kupanga ni kuchagua

    Maendeleo ya nchi yanapimwa kutokana na wingi wa changamoto zinazoikabili jamii ya nchi husika. Zile ambazo zimeendelea wananchi wake wananchi wake wanakuwa na changamoto chache zinazowakabili, wakati zile ambazo hazijaendelea watu wake wanakuwa na changamoto lukuki. Je, Mungu aliwapendelea...
  3. O

    Sayansi za mchongo

    ilikuwa tarehe 25 july 2020 baada ya kuamka asubuhi kwa ajili ya kwenda kwenye mizunguuko yangu ya kila siku nakutana na baridi kali sana. Miaka mingi kidogo wakati nakua kipindi cha baridi kilikuwa ni mwezi wa sita, sasa hii baridi ya mwezi wa saba kwenda wa nane veepe? Utagundua kitu sawa na...
  4. O

    SoC02 Jiwe la Msingi 5.2: Wanafunzi kuelewa wanachojifunza

    Wanafunzi kuelewa wanachojifunza. Mnamo mwaka 2011, nilikuwa miongoni mwa wanafunzi 80 tuliokuwa tukisoma masomo ya sayansi katika shule fulani ya sekondari mkoani Tabora. Sikuwa miongoni mwa wanafunzi bora katika darasa lile. Na wala sikuwa muulizaji sana wa maswali. Inawezekana hiyo ilikuwa...
  5. O

    SoC02 Jiwe La Msingi 5 (ukombozi wa fikra, elimu na uchumi)

    CHANGAMOTO KWENYE MFUMO WA ELIMU NCHINI TANZANIA. Utangulizi Siku za nyuma nikiwa kidato cha kwanza, katika Shule ya Sekondari Uluguru, tuliwahi kuwekewa mada ya kujadili kwa hoja. Mada hiyo ni maarufu kidogo miongoni mwa wanafunzi waliowahi kupitia elimu ya sekondari, ”Education is better...
  6. O

    Kama ilivyo kwa mwanadamu, mimea hulala usiku?

    Hapo chini ni picha za mmea uitwao muhaladari, wengine wanaita mdodoma. Kisayansi unaitwa panama berry tree. Picha ya kwanza imepigwa wakati wa usiku na nyingine wakati wa asubuhi. Kinachoonekana ni kwamba wakati wa usiku majani husinyaa na kufumba kabisa (kulala). Ikifika asubuhi tu unaanza...
  7. O

    SoC02 Jiwe La Msingi 3. Ukombozi Wa Fikra, Elimu na Uchumi

    tunaendelea kutoka thread namba 2. Pesa ni mfano mmojawapo mzuri wa nadhaharia inayoitwa “Tinkerbell effect”. Ambayo inajaribu kuelezea kwamba baadhi ya vitu vipo kwa sababu tu ya watu kuamini vitu hivyo. Watu wengi wanavyozidi kuamini kuwa pesa ina thamani sana na hakuna maisha bila pesa basi...
  8. O

    SoC02 Jiwe La Msingi 2: Ukombozi wa Fikra, Elimu na Uchumi

    Kwa wingi wa changamoto hizo na kuendelea kukua kwa kasi kwa hizo changamoto bila shaka lazima kutakuwa na sehemu moja ambayo ndio mzizi mkuu wa matatizo mengine yote. Kuna usemi usemao, “Kama una changamoto nyingi zinakuandama kwa wakati mmoja, tuliza akili yako vizuri, kwani suluhisho la...
  9. O

    SoC02 Jiwe La Msingi 1. Ukombozi wa Fikra, Uchumi na Elimu

    UTANGULIZI PAMOJA na uwezo mkubwa alionao mwanadamu wa kutatua changamoto mbalimbali katika mazingira yanayomzunguka, Watanzania wameshindwa kutatua changamoto za msingi ambazo ndiyo msingi mkuu wa maisha ya mwanadamu ulimwenguni. Si Watanzania wote wenye uwezo wa kutafakari na kuwaza nini...
Back
Top Bottom