Search results

  1. Infopaedia

    NMB/VODA mnatuibia

    NMB/VODA huu wizi mtaacha lini?. Napiga *150*66# ili nipate huduma ya bank mkononi. Naambiwa huduma hii kwa sasa haipatikani, lakini nakuta kiasi cha Tsh 50 mmekata kwenye simu yangu wakati sijapata huduma. Narudia tena *150*66#. Nafika hatua ya nne kuelekea huduma ninayohitaji, naambiwa...
  2. Infopaedia

    Polisi wa barabarani na weledi wao.

    Habari zenu wana jamii. Leo nimeona tuongeee kidogo kuhusu hawa askari wetu wa úsalama barabarani. Ukiangalia hicho kiambatanisho hapo juu, hilo ni Kosa la barabarani ambalo askari amemuandikia dereva. Japo kuwa hilo Kosa inaonekana ni la kujitungia tu, lakini shaka yangu si juu ya hilo...
  3. Infopaedia

    Tushirikishane maneno uliyosikia, anadhani amekata simu kumbe unasikia

    Kuna yale maneno ya mwisho hutokea unayasikia kwa bahati mbaya. Mwenzio anajua amekata simu kumbe bado iko hewani. Au anakosa subira na kuyaongea kidole kikielekea kukata simu. Nilipigiwa simu na shangazi yangu. Tukaongea, then akaniambia hana hela ya sukari. Nikasema, nitakutumia shangazi...
  4. Infopaedia

    Wamiliki wengi wa majokofu/friji wanauelewa mdogo juu ya utendaji kazi wake

    Pia kama una AC, hapa panakuhusu. Twende moja kwa moja kwenye mada. Watu wengi tunamiliki majokofu au friji lakini tunauelewa mdogo juu ya utendaji wa hichi kifaa. Kimsingi, kama mtumiaji hautakiwi kuwa na uelewa sana juu ya utendaji wa jokofu lako. Wataalamu au mafundi wanaohudumia jokofu lako...
  5. Infopaedia

    Mtandao wa Zoomtanzania na magari ya mnada

    Habari wakuu. Kwenye mtandao wa Zoomtanzania ambalo ni duka la mtandaoni, nimeingia na kukuta magari mengi ya mnada. Kuna gari nyingi naona zimeandikwa 'manada wa magari', kwa maana ya kwamba zinapatikana kwenye huo mnada. Wakuu, kama kuna mtu ana uzoefu na huo mnada, naomba anishirikishe...
  6. Infopaedia

    Ndege ya ATCL number TC 106 Bomberdier, tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa

    Jana nimesafiri na ATCL ndege number TC 106 Bomberdier toka Dar kuja Mbeya. Hii ndege tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa. Hii ni hatari sana. Nilikaa dirishani mkabala na hizi tairi. Jana tulitoka Dar na mvua, na mipira ikiloa si rahisi kuona jinsi mpira ulivyolika. Tunafika...
  7. Infopaedia

    Wapi kwa Valentine hapa Mwanza

    Kwa wakazi wa Mwanza, tuelekezane eneo zuri la kula Valentine. Maana kilasiku yanafunguliwa maeneo mpya.
  8. Infopaedia

    Mtu mwenye kampuni ya catering naomba tuwasiliane

    Habari za saa hii. Kama kuna mtu mwenye kampuni ya catering iliyo active, naomba tuwasiliane. Kuna fursa ya biashara tunaweza kufanya.
  9. Infopaedia

    Kusajili TIN online bado ipo?

    Nawauliza TRA, ile huduma yenu ya kusajili TIN number online bado ipo?. Siku ya tatu leo nimesajili TIN online lakini bado naambiwa ombi linashughulikiwa. Kipindi kile mmeanzisha hii huduma ilikuwa ndani ya masaa kadhaa unapata TIN number yako. Kwenye tovuti yenu kuna number ya whatsapp...
  10. Infopaedia

    Jinsi ya kuhamia mtandao mwingine bila kubadili namba ya simu

    Huduma ya Kuhamia Mtandao Mwingine wa Simu Bila Kubadili Namba ya Simu ya Kiganjani (MNP) UTARATIBU WA KUHAMA Huduma ya hii itakuwezesha kubadili mtoa huduma wako wa simu za kiganjani Tanzania na kubakia na namba yako ileile. Ni huduma ambayo inakuwezesha kubakia na mamba yako bila kujali...
  11. Infopaedia

    Jf Muheza

    Habari zenu wakuu. Nipo maeneo ya Muheza town. Kama kuna mdau anayajua maeneo haya, anielekeze chocho moja matata ya kula raha. Si mbaya kama nikipata toto moja ya kitanga ikanikata huu msongo.
  12. Infopaedia

    Kununua gari toka Zanzibar

    Kuna jamaa yangu yuko Zanzibar anataka kuniuzia gari. Na gari nikiangalia iko vizuri tu. Xtrail ya 2005 ananipa kwa mil 6. Ila sasa nasikia kuleta gari Bara toka Zanzibar unalipia tena ushuru. Je hiyo ni kweli?. Na kama ni kweli, kwa gari kama hiyo yaweza gharimu kiasi gani mpaka naiendesha huku...
  13. Infopaedia

    Tupia caption.

  14. Infopaedia

    TANAPA kuweni serious kidogo!!!!

    Tanapa mmetangaza nafasi za kazi, ni vizuri. Lakini mnataka waombaji wote watume maombi yao kupitia 'online application system'. Sijaona option nyingine ya kutuma maombi zaidi ya hiyo. Hivi huwa mnatathmini kweli hali ya Tanzania na watanzania?. Online application system huwa zina mlolongo...
  15. Infopaedia

    ALIYEONJA HIZI KARANGA JAMANI, ANIJULISHE.

    Wadau, nilikuwa natafuta bidhaa za electronic kupatana dot com. Nikaingia kewenye forum ya electronics then camera and accessories. Bidhaa ya kwanza niliyokuta ni "karanga". Kama kuna mtu kazionja hizi karanga, naomba mrejesho jamani. Dah!
  16. Infopaedia

    BEEF: Canibus VS LL Cool J

    Mambo vp wadau. Mara kwa mara nimekuwa nikisikia mivutano ya wasanii wetu hapa Bongo, Hasa Kiba na Chibu. Hii mivutano yao imenisukuma kuandika japo kidogo kuhusu beef ama ugomvi wa msanii nguli wa Hip hop, Ladies Lover Cool James a.k.a ‘LL Cool J’ na bwana mdogo mmoja mbishi sana….Canibus a.k.a...
  17. Infopaedia

    Kweli watoto hawapendi maswali ya kijinga!

    Wataalamu wanatumbia watoto huwa wana-act katika intelligent level baada ya ku-reason kulingana na mazingira na anachokielewa. Majibu ya watoto huwa yanafikirisha ama kushangaza. Juzi juzi nilipiga simu nyumbani nikawa naongea na dogo ana umri wa miaka mitano. Nikamuuliza unafanya nini, akajibu...
  18. Infopaedia

    Natafuta mbegu za ma-apple ya kisasa

    Salamu wandugu. Hivi hizi mbegu za ma-apple ya kisasa nitapata wapi?. Nina mpango wa kupanda kwa majaribio maeneo ya Kilimanjaro. Asanteni.
  19. Infopaedia

    Galaxy tab 10.1 ime-stuck: Msaada

    Nina Samsung galaxy tab 10.1, inawaka lakini ikifika kwenye logo 'SAMSUNG' ina-stuck hapo hapo. Nimejaribu ku-flash custom rom kwa kutumia Odin3 lakini ina-fail. Pia haiwezi hata kwenda kwenye hard reset. The only option unapata ni when unabonyeza power button + volume down kwa sekunde kama...
  20. Infopaedia

    Galaxy tab 10.1 ime-stuck: Msaada

    Nina Samsung galaxy tab 10.1, inawaka lakini ikifika kwenye logo 'SAMSUNG' ina-stuck hapo hapo. Nimejaribu ku-flash custom rom kwa kutumia Odin3 lakini ina-fail. Pia haiwezi hata kwenda kwenye hard reset. The only option unapata ni when unabonyeza power button + volume down kwa sekunde kama...
Back
Top Bottom