Search results

  1. Samahani

    Hadithi zilizofundisha na kujenga "Utu wa mtu"

    Kuna mengi naweza kuyasahau kati ya yale niliyopata kuyasikia na kuyafanya katika utoto wangu, hasa katika kipindi nilipokuwa shule za awali, msingi na sekondari. Hata baadhi ya majina na sura za wale ambao nilitumia muda mwingi nikiwa nao katika kipindi hiki nimevisahau kabisa, na mara kadhaa...
  2. Samahani

    SoC03 Turuhusu uhuru wa habari utuwajibishe

    Utangulizi Binadamu tumeumbwa na tabia ya “kushangaa”. Tunayoyaona au kuyasikia kwa mara ya kwanza yanatushangaza. Tunaposikia au kuona jambo ambalo hatuna taarifa zinazolihusu, ni kawaida “kushangaa”. Baada ya kuwa na ujuzi juu ya jambo hilo, halitushangazi tena. “Tutakushangaa”...
  3. Samahani

    Usivuruge mazungumzo

    Utamu wa mawasiliano siku zote ni pale pande mbili zinapofikia lengo la kuwasiliana vema kwa kila upande kupata taarifa sahihi kutoka kwa upande mwingine, na kisha kutoa mrejesho kwa wakati. Lugha sahihi pamoja na njia sahihi ya mawasiliano inayoeleweka kwa pande zote mbili ni muhimu mno katika...
  4. Samahani

    "Ugumu wa maisha" unaleta hasira?

    Juzi nilikutana na rafiki yangu ambaye tunashirikiana kwa mengi tu. Amekuwa ni mfanyabiashara kwa muda mrefu sana wa maisha yake. Hapa katikati, halihalisi imekuwa sio nzuri kibiashara, na ameyumba sana. Pamoja na mengi ambayo tumekuwa tukisaidiana, kuna jambo moja ambalo nahisi sasa imekuwa...
  5. Samahani

    Taasisi za dini, ujasiriamali vipi huko?

    Najitahidi kukumbuka miaka kadhaa nyuma ambapo, lilikuwa ni jambo la kawaida kukuta taasisi nyingi sana za dini zikiwekeza sana kujenga tabia ya ujasiriamali, tena hasa kwa vijana na akina mama. Navikumbuka baadhi ya vikundi vya vijana wakati ule walikuwa na shughuli kama kutengeneza tofali...
  6. Samahani

    Mbinu za kukwepa kusinzia darasani, ibadani au kazini

    Kwa wengi wetu tatizo la kusinzia ‘ovyo’ limekuwa ni la kawaida sana tuwapo ofisini, kwenye semina au darasani. Pamoja na ukweli kuwa walio na umri mkubwa zaidi wanateseka zaidi na hili, na mwamba pia wapo ambao imechukuliwa kuwa tabia na mazoea yao, lakini kwa namna kubwa waathirika ni wengi...
  7. Samahani

    Ugumu wa maisha unaleta hasira?

    Juzi nilikutana na rafiki yangu ambaye tunashirikiana kwa mengi tu. Amekuwa ni mfanyabiashara kwa muda mrefu sana wa maisha yake. Hapa katikati, halihalisi imekuwa sio nzuri kibiashara, na ameyumba sana. Pamoja na mengi ambayo tumekuwa tukisaidiana, kuna jambo moja ambalo nahisi sasa imekuwa...
  8. Samahani

    Tafuta kazi kabla ya kuacha kazi

    Tunapofanya kazi na biashara mbalimbali za kuajiriwa, na kwakweli hata za kujiajiri wenyewe, kuna wakati tunaweza kuamua kuacha kwa sababu mbalimbali!! Kuna wakati tunatamani kupata kazi na biashara zenye maslahi zaidi, kuutafuta uhuru zaidi, kukwepa manyanyaso yasiyohimilika, kutafuta kukua...
  9. Samahani

    Usikose vifaa hivi nyumbani kwako!

    Siku za karibuni, nikiwa likizo, nilimtembelea ndugu yangu mmoja ambaye aliugua kwa muda mrefu na sikuwa nimepata nafasi ya kumtembelea. Wakati tunazungumza, kuna jirani yake alikuja na kuomba kuazimwa jembe ili akaoteshe mche wa mti aliokuwa ameununua huko alikotoka. Cha kushangaza, hata huyu...
  10. Samahani

    Mkeo/Mmeo ni mama/baba watoto wangu...

    Kuna pahala nimeiona hii ikaitoa akili yangu kwenye ufanisi ghafla... Hivi hii imekaaje, unafanya maamuzi magumu kuoa / kuolewa na mtu ambaye amekwisha zaa na mtu mwingine kabla yako... Ile mmekaa kwa kutulia, unakutana na kauli ngumu kama hii kutoka kwa "wa zamani"... Mkeo wewe ni mama watoto...
  11. Samahani

    Mke wa rafiki yangu kapoteza uwezo wa kushika ujauzito

    Napata sana kigugumizi kumjibu huyu aliye mbele yangu hakika... Ni rafiki yangu ambaye tunaheshimiana sana, na huenda ndio maana aliniamini mpaka kunichagua kuwa msimamizi wa ndoa yake miaka mitatu iliyopita. Lakini baada ya miaka hii mitatu ya furaha ndani ya ndoa, wanandoa hawa hawajabarikiwa...
  12. Samahani

    Mwanamke usiniulize haya..!

    Sijui ni mimi peke yangu ama huenda nikawa nawakilisha wanaume wenzangu wawili, watatu, watano, kumi au mia (sijui)... Binafsi, hakika kuna maswali huwa sipendi kabisa kuulizwa, hasa katika mahusiano!!! Huenda ni kasumba mbaya (nisamehewe na kushauriwa pia, nisishambuliwe na kusimangwa), na...
  13. Samahani

    HEKAYA: YAANI UWE CHONGO ILI JIRANI YAKO APOFUKE???

    Baada ya tu ya kupata ajira, nilipata neema ya kukaa nyumba za serikali, wenyewe tulikua tunaziita “kotaz”. Miaka hiyo nyumba hizi zilikuwa zinamilikiwa na serikali hasa, ingawa siku hizi zimeshaanza kuwa za kina “bwana Fulani”. "Wakati huo", watumishi wa serikali walikaa nyumba za serikali...
  14. Samahani

    HEKAYA: Amua wewe, nami niamue, tutende pamoja

    Basi bwana. Awali, isingekuwa rahisi kudhani kuwa ingefika siku nijifunze na kuliwaza hili ninaloliwaza leo. Lakini sijuti kwa kuliwaza. Labda hii ni ishara kuwa naanza kuzeeka, ama walau kuongezeka ukubwa wa kufikiri mambo fulani fulani. Kama ni kweli kuwa nazeeka sasa, hili nalo...
  15. Samahani

    "Marehemu aanze kudaiwa au kulipwa lini?"

    Amani na salama viwe nanyi nyote, Ningependa tupeane mwanga kidogo. Mara kadhaa katika misiba kumekuwa na kipengele cha wanafamilia au ndugu wa Marehemu kutoa nafasi kwa "yeyote" anayemdai au kudaiwa na marehemu ajitokeze ili "kumalizana". Nadhani ni jambo la kiungwana sana hili. Napenda tu...
  16. Samahani

    SoC02 Ndoa yangu "Isininyanyase"

    Utangulizi Katika Sheria ya ndoa ya mwaka 1971, Sura ya 29; ndoa imetafsiriwa kuwa ni ‘muungano wa hiari’ kati ya mwanamke na mwanaume unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao yote. Kumbe, mojawapo kati ya mambo ambayo wanandoa wanapaswa kuyaweka vema katika fahamu zao ni kuwa, lengo la uwepo...
  17. Samahani

    "Njaa" na heshima au "Mkate" na dharau?

    Rasilimali ni msingi muhimu kwa maendeleo. Maendeleo yanahitaji uwepo wa rasilimali, na kisha zitumike kwa uadilifu, mpangilio na usimamizi makini. Rasilimali zinasimama kama ‘chanzo cha nishati’ katika maendeleo. Mojawapo kati ya rasilimali muhimu kwa maendeleo ya taifa ni “watu”. ___ Katika...
  18. Samahani

    SoC02 Mama wa nyumbani au Kiwanda kilichojificha?

    Utangulizi Zoezi la sensa ya watu na makazi linaloendea nchini limenikutanisha tena na swali ambalo kwa miaka mingi limekuwa likizitamausha fikara zangu. “Unajishughulisha na nini?” ni ‘swali la kawaida’ tunapohitajika kutoa taarifa zinazotuhusu. Katika kulijibu swali hili, wanawake wengi, pasi...
  19. Samahani

    SoC02 Njooni wataalamu wetu wenye bahasha tusaidiane

    KAZI ni mojawapo kati ya nguzo muhimu katika maisha ya mwanadamu. Mahitaji muhimu katika maisha ya mwanadamu ni matokeo ya kazi. Unapokatiza mitaani, katika mitandao ya kijamii, majarida na wavuti mbalimbali, maombi na matangazo ya kazi vinapewa kipaumbele kikubwa. Wengi hudamka asubuhi...
  20. Samahani

    Bado ngoma haijaanza, usianze mchezo!

    Unajua sio lazima kila saa uoneshe ni kwa kiasi gani unajua mambo fulani fulani kichwani mwako! Ndio maana niliwahi kuandika kuwa, maarifa ni sawa na uchi tu. Ni lazima kuwa nayo, lakini si busara kuyaweka hadharani muda wote! Kuna wakati ni vema maarifa yakawekwa nyuma, kisha tukawaacha wenye...
Back
Top Bottom