Search results

  1. CONSULT

    Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada!

    Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada ! ! ! Nissan Atlas Truck tani 1.5 Pick up ilikuwa inalipiwa ushuru sh 5,662,000= leo Calculator ya TRA sh 13,224,989= (CIF 3,665 USD) Mbaya zaidi tayari nilishalipia gari iko njiani kwa ushuru niliouona na kuuhakiki...
  2. CONSULT

    WHO ARE THEY ? Educated, Skilled, Experienced Corporate CEO's In Tanzania compare to our neighbors ?

    WHO ARE THEY ? Educated, Skilled, Experienced Corporate CEO's In Tanzania compare to our neighbors ? Moja ya changamoto kubwa tulionayo kwenye maendeleo ya ujasriamali hatimaye uchumi ni kukosekana kwa hawa watu muhimu (local content)kwa ngazi ya kitaifa na wawe kama role models kwa jamii...
  3. CONSULT

    Wafanyabiashara wanaanza kurudi tena upinzani

    Kuna dalili kubwa sana za wafanyabiashara kujijenga zaidi upinzani baada ya sakata hili la sukari kuonyesha wazi kuwa serikali sio rafiki kamwe na hao wajasiriamali kwa uwazulia mambo na kuwa dharirisha kwenye jamii inaonyesha wanarudi nyuka kule wapokuwa wakiitwa...
  4. CONSULT

    Nimerudi tena kwa wale wadau wa ujasiriamali hasa hardware, transport, microfinance

    Ni matumamaini yangu kuwa wote tupo salala, Pamoja na vuguvugu kubwa la siasa , lakini kwa mjasiriamali hakuna game tamu kuliko yote kama kufinyanga PESA, mengine baadae, naomba tuendelee kubadilishana mawazo. kARIBUNI Chasha Poultry Farm , IPILIMO , EWGM's ...
  5. CONSULT

    Utajiri / ujasiriamali unavyopatikana

    NAMNA MOJAWAPO WAJASIRIAMALI WANAVYOPATIKANA Palikuwapo na nchi tajiri pia na mfalme wake tajiri sana na alikuwa mzee sana kwa bahati mbaya hakujaliwa kupata mtoto wa kiume ila alikuwa na binti mmoja tu na mrembo sana, Mila na desturi za kabila hilo...
  6. CONSULT

    Business Entreprenerial Manager Needed Mwanza

    Entreprenerial Business Manager Needed Mwanza A business manager is needed at mwanza ,there is a business unit running with Good working Capital, proper nessesary assets like attracting business location, well being goodwill, well established market in the industry, logistics, Godowns...
  7. CONSULT

    Natafuta frem/duka kwa ajili ya kuuza vifaa vya ujenzi-hardware

    Tafadhali wana JF naomba msaada wenu kupata nafasi kwa ajili ya biashara ya hardware hasa maeneo yanayoeleweka kwa biashara hiyo DAR kama Gerezani, Kariakoo na nje kdg Mbagala, mbezi, n.k kwa kuuza cement,nondo,bati,sealing board,Hardboard,bomba, steel sheet n.k Tuma ushauri_ubunifu@operamail.com
  8. CONSULT

    Truck & trailer fiat 682 n4 inauzwa

    Lori na tela yake box body iko kwenye hali nzuri sana inauzwa bei poa kabisa vilevile zipo pia SCANIA 113 na DOLL tela zake zote box body mm nio menye hizo gari na sio dalali, kwa mawasiliano zaidi tuma email: ushauri_ubunifu@operamail.com
  9. CONSULT

    Elimu ya open university na soko la ajira

    Wana jamii forum naomba ushauri wenu, kutaka kujua hadhi ya elimu huria kama inayotolewa na OPEN UNIVERSITY katika jamii yetu ya kitanzania aidha kwenye soko la ajira au mtazamo wa jamii kwa kulinganisha na elimu ya vyuo vingine kama vile UDSM, MZUNBE, UDOM.
Back
Top Bottom