Habari Watanzania wenzangu
Napenda nami nitoa mchango wa mawazo katika hiki kilio wanacho kutana nacho wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania bara
Pia mnivumilie kwa kuwa sio muandishi mzuri sana japo nimewiwa kuandika na Nina imani wapo watao nielewe japo kwa uchache wake na watakao kuwa na...
Watanzania tuchangamkie fursa hizi, wakenya wasije kuwapiga bao
FaizaFoxy
USSR
Maghayo
instanbul
Pascal Mayalla
Mshana Jr
OKW BOBAN SUNZU
FRANCIS DA DON
Msanii
Mpwayungu Village
Bufa
Kaka yake shetani
UMUGHAKA
ChoiceVariable
Nina ombi kwa Mzee wetu Mohamed Said utusaidie kuiweka sawa hasa maeneo yanayo husu TAA na TANU
Mwandishi naona kama ana pishana sana na machapisho mengi uliyoyachapisha
Kama vuguvugu kutoka kwa bwana sykies nk
Kwa heshima yako tafadhari tusaidie na uwasaidie hawa waandishi wetu wanao andika...
Umakini kwa Ukraine unaonesha upendeleo kwa watu weupe dhidi ya weusi, Mkuu wa WHO asema
CHANZO CHA PICHA,EPA
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) anasema ulimwengu hautoi tahadhari sawa kwa dharura zinazoathiri watu weusi na weupe.
Tedros Adhanom Ghebreyesus alisema ni sehemu ndogo tu ya...
Shocking details of mysterious owners of Kenya’s SGR
June 2019
Kenya signed a secret agreement with the Chinese allowing a mystery company with unknown local shareholders to run the Standard Gauge Railway, documents seen by the Sunday Nation show
IN SUMMARY
· The company, Africa...
The National Youth Service (NYS) and Integrated Financial Management System (IFMIS) are among host of government websites that were Monday attacked by an Indonesia hacker group, Kurd Electronic Team.
The portals were attacked in the morning with hackers placing their logo on the landing pages...
Kwa jinsi anavyoendelea na mikakati na harakati zake basi aendelee kuamini kuwa hakuna marefu yasiyo na ncha.
Atakumbuka mistari isemayo "Heshimuni Mamlaka zenu"
Kama atafanikiwa kurudi nchini basi yeye hatokuwa wa tofauti na Mh. Abdul Jumbe aliyewahi salitiwa na Jasusi Maalim Sharrif wa CUF...
Wilaya ya kisarawe ina toa huduma ya Miti/miche ya aina mbalimbali...
kwa mahitaji ya miti fika katika vitalu/vituo tajwa hapo kwenye website ya wilaya
MNA karibishwa nyote...
kumbuka haiuzwi ni bure...
Announcement | Kisarawe District Council
Sent using Jamii Forums mobile app
Zitto alipata kuuliza maswali juu ya ndege kuchelewa kufika... nazani ilikuwa ziwahi kufika ili aweze kupata huduma ya ndege hizo...
hakuwa na nia mbaya... na sasa ana faidi huduma ya ndege husika...
safi sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Dooh CAG amedhallika sana... hadi na wachora katuni, amekuwa kifurushi kisicho thaminika... kime ning'inizwa tu, kina subiri kama kukatika au MTU wa kukiokoa kisije potea mbali...
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama cha mapinduzi (CCM) chini ya uongozi makini kina zidi kuji imarisha katika kampeni zake mbalimbali hapa nchini na Nje ya Nchi...
Za nje ya nchi tuta kuja nazo siku nyingine...
Sent using Jamii Forums mobile app
Naibu spika wa bunge na mkuu wa taasisi ya Tulia trust ana zidi kufanya shughuli muhimu za kijamii mkoani mbeya...
wakazi wa mbeya mmependelewa sana hii fursa msiache iwa pite... wengine wana itamani ktk mikoa waliyopo lakini ndio hivyo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepata hii taarifa ya walio chaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2019 kutoka wilaya ya masasi...
Announcement | Masasi District Council
Wengine wenye orodha ya mkoa au wilaya waliopo tusaidiane kupeana taarifa...
Una tutisha au una mtisha??? Zitto usitupe wasiwasi sisi watanzania wenzio...! Hofu hatuja zoea...! sisi tumezoea kuambiwa maendeleo ya miradi kama SGR, japo stigila siisikii sana... liganga na mchuchuma... mbowe kizuizini... haya ya jumapili na magwanda tumezoea kidogo ktk korosho na forex huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.