Kumekuwa na wimbi kubwa la kukopesha simu... Unalipa kidogo kidogo kama mtambo wa sola.
Hajapatikana mtu wa kubadili either IMEI au chochote ili simu iwe free?
Sent from my 2201117TG using JamiiForums mobile app
Hawa wanaosema follow like comment hii namba 15385 kisha share...then baada ya saa 2 utapata kiasi cha malipo unachostahili ni kweli?
Kuna yeyote ameshapata?
Maana video nyingi zina hizo namba.
Naamini humu kuna waliokwisha fanya hyo kitu.
Kipindi korona inaanza kuingia Tanzania. Mchungaji Gwajima alionya sana ujio wa 5g kwamba ndio unaoleta hii virus.
Sasa leo voda wamezindua.
Jeee? Amesema chochote tena?
Ndugu zangu wapendwa habari za muda mrefu tena.
Naomba kuambatanisha uzi
https://www.jamiiforums.com/threads/mliofiwa-na-wazazi-mama-mliwezaje-kuvuka-kipindi-hiki.2012960/page-8#post-43564101
Ninajitahidi kuzoea hali ya kutokuwa na mama ila bado siamin kama ndo mazima. Inauma lkn hakuna...
Wandugu habari, mama alikuwa mgonjwa na akaanza matibabu ila akiwa hospital akafariki. Hapa naenda msibani, ila siwezi kuvumilia kulia mara kwa mara licha ya kujikaza.
Kwa mliopata hii changamoto, mliwezaje kumove on? Nikifikiria ameenda bado mdogo hata 50 hajafika, ni mengi nawaza yananiumiza...
Wiki iliyopita stamina alitoa wimbo mmoja wa future wife.
Hapa katk verse ya kwanza alikuwa anamwita aje popote alipo ila verse ya 2 alimwambia asubir kwaza mambo sio poa. Ila mwisho kaletewa bi dada na kapata mimba.
Mwendelezo wa 2
STAMINA ft 🍌 banana zoro wimbo UKIZALIWA .
wimbo huu...
Simu tajwa hapo juu zimenivutia maana naona kama zina spec sawa ila zinaachana padogo dogo
Redmi nimeipendea camera 50mp oppo 16
Oppo tena nimeipendea yeye ana finger sensor ya pembeni Redmi nyuma...
Nichambulieni ipi itakuwa zaidi ya mwenzake
Naomba kilio hiki kifike mamlaka husika.
Mwaka juzi kilo ya pamba tuliuza kwa 1200
Mwaka jana tuliuza kwa 1100
Mwaka huu bei elekezi ni 1200.
Naomba mtambue kuwa msimu ulikuwa mbaya sana.
Hapakuwa na mavuno kwa upande wa mazao ya kilimo kutokana na kukosekana mvua.
Ndiposa tukalima kwa wingi...
Nimekutana na kamchepuko kamoja ni ka kijjn tuuuu sidhani kama kama ujanja wa kutumia Tigo......
Muda wa kupima oil mara nikagusa kule....tobo laini....dole likazama..... ...ohooooo kakatikia madole hadi nikapiz nje...... Nikajiuliza ni mdogo wake ammber? Bora nisikarudie tena maana nikienda...
Miaka ya 80-90 tukiwa wadogo kuna uvumi kwamba kuna wanyonya damu.
Hata tukiona magari ya red Cross tunakimbia Sana.
Hawa wanyonyadamu walikuwepo kweli au ndo ile danganya toto?
Nimemkumbusha mke wangu nae kwao walikuwa na hiyo dhana....vp maeneo mengine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipoona Rais ænagawa Vitambulisho vya wachinga.....naona limekuwa agizo kwa kila RC .
Imetangazwa kila mfanya biashara mwenye mtaji chini ya mil 4 had muuza nyanya pembezoni mwa barabara awe nacho.
Usipochukua utalipia elf 9 kila mwezi .
Tangu kutoka kwa tangazo hilo naona walokuwa na mitaji...
Ni muda mrefu tangu kupita kwa umeme kjijini kwetu(nilipo kwa sasa)bwana mmoja akatoa ufadhili wa Transfoma na nguzo. Alichoahidiwa angefungiwa tangu June. Akatoa kipaumbele kwamba waunganishe kwanza zahanati ni ya Serikali pamoja na shule halafu nyumbani kwake. Hizi zote ni gharma zake wala...
Naibu waziri ameyasema hayo kutokana na wagonjwa kupewa majibu ndani ya nusu SAA baada ya kupima,angali inahitajika SAA 72 kupata majibu sahihi.
Hivyo watz wengi tumekuwa tukitibu vitu kwa nadharia....hii inachangia usugu Wa dawa
Habarini wana jamvi...
Naomba kujua safari za treni zipoje...kutoka morogoro -mwanza..
Ratiba yake Na nauli.
NB. Nimeangalia kwenye website wao sioni kitu
Habarini wana jamvi...
Naomba kujua safari za treni zipoje...kutoka morogoro -mwanza..
Ratiba yake Na nauli.
NB. Nimeangalia kwenye website wao sioni kitu
Mwaka 2012
Nilikuwa Na rafiki Wa kike tukazoeana kimtindo....
Baada ya mawasiliano ya karibu sana nikajjsemea.....ngoja nijaribu kama ananiamini......
Nikamwomba elf 5.. Nimrudishie baada ya Siku 2. Kweli akanitumia....Na baada ya Siku 2 nikamrudishia....akaanza ungekaa nayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.