Search results

  1. H

    kwa asili yenu, ukiugua magonjwa kama mafua, nimonia ya watoto, huwa mnatumia nini?!

    kama heading inavosema, sisi kwetu mgonjwa wa mafua sugu tokea zamani anaweza akatumia tangawizi, maji ya moto, ndimu , na majani ya mti mmoja hivi jina nimelisahau, ila harufu yake ni kama dawa ya mswaki kwa nimonia, hatukuwa na namna, tulienda hospital, vipi kwenu? embu tuambie hapa...
  2. H

    ishi ukijua kuna watu watazeeka na kufa bila kujua wanataka nini

    kama kichwa cha habari hapo juu 1. ukiona umezaa na mwanamke watoto zaidi ya mmoja na bado unamuona hafai kumuoa jua hujajitambua 2. ukiona uko kwenye chama fulani halafu hupendi kinavoendaenda ila huwazi kutoka jua wewe bado kujitambua 3. ukiona umefika chuo kikuu na fani unayosomea hujui...
  3. H

    Namsaidiaje huyu rafiki yangu

    Hi guys, Nina kitu kinanikera kwa mshikaji wangu, nahitaji ushauri wenu mana najua ninayekereka si mimi tu I have a best friend, yuko helpfully when it comes to problems,muwazi kwangu na kiukweli ana utu Lakini huyu jamaa ana mambo haya siyapendi.. Kwanza anaongea sana kunizidi mimi, kwa hiyo...
  4. H

    Njoo au baki tanga bumbuli na mimi nibaki mbeya wilaya yoyote(ajira mpya)

    NI PM TUWASILIANE KAMA UKO WILLING(NIKO KWA NIABA NTAKUNGANISHA NA MUHUSIKA):sad:
  5. H

    Msaada;external supervisor na mchango wake open university

    NI HIVI ,, UMEMALIZA COURSE WORK KTK LEVEL YA POSTGRADUATE. UNAPEWA SUPERVISOR, HAKUTAFUTI WE NDO UNAMTAFUTA ,BAADA YA MUDA UNAGUNDUA NI MVIVU, SIJUI ANA MAMBO MENGI,,,SASA NATAKA MTOE USHAURI,, JE ALT INAWEZA KUWA NI EXTERNAL SUPERVISOR, ? LAKINI JE, UNARUHUSIWA KUTAFUTA EXTERNAL SUPAVISOR...
  6. H

    Maono yangu na kesi ya JKT na Uzalendo

    kwanza nina imani ndogo na uzalendo unaoenda kujengwa kwa vijana huko jkt,,kipindi cha ujamaa walifanikiwa kwa sababu babu aliwabana kwenye kumiliki mali,,wote tukawa sawa, hata ukiiba huwezi kununua chochote na hata ukinunua labda uchimbie chini kama watu flani walivyofukia matrekta huko...
Back
Top Bottom