kwa asili yenu, ukiugua magonjwa kama mafua, nimonia ya watoto, huwa mnatumia nini?!

hahaha always done

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
847
1,255
kama heading inavosema, sisi kwetu mgonjwa wa mafua sugu tokea zamani anaweza akatumia tangawizi, maji ya moto, ndimu , na majani ya mti mmoja hivi jina nimelisahau, ila harufu yake ni kama dawa ya mswaki

kwa nimonia, hatukuwa na namna, tulienda hospital,

vipi kwenu? embu tuambie hapa

NB:kufika hospitali kila unapohisi viashilia vya corona ni muhimu kwa afya yako.
 
Back
Top Bottom