binadamu wa kawaida asiyekuwa na tatizo lolote anatakiwa awe na hormons kiasi gani?
nini kinasababisha kupungua au kuongezeka kwa hormons?
Na kwa watu wenye hormons nyingi kupita kiasi cha kawaida cha binadamu tatizo linakuwa ni nini?
Na mtu mwenye hormons kiwango mia nane na zinaongezeka ni...
Mchemsho wa Ndizi Kwa samaki
Ndizi mshare au ndizi kimalindi au za mbea tano(5) inategemea na familia yako
samaki nusu kilo wabichi sato itakuwa nzuri zaidi
nyanya moja
kitunguu kimoja
karori moja
pili pili hoho
mafuta vijiko viwili vikubwa
1. Osha samaki wako vizuri hakikisha wametakata mpaka...
Ni tiba gani inaweza kutumika kwa jipu lililochimbika kutokana na maumivu makali halikuweza kukamuliwa likaisha, kuna tiba yoyote ya kukausha bila kukamua?
mdogo wangu anafunga ndoa mwezi wa tisa, tupo kwenye process ila jan amegundua mchumba wake ana mwanamke na mtoto mchanga wa miezi mmitatu wamefanana kama mapacha, alizaa naye akiwa arusha amemleta dar amempangia nyumba ila jamaa ni smart imetumika trick kali sana kumnasa, mdogo wangu...
Nimekuwa nikionana wamama wengi hawawapendi wake au wachumba wa watotot wao wa kiume bila sababu maalumu hii inasababishwa na nini.
Kuna kijana mmoja (true story0alilelewa kwenye kituo cha watoto yatima tangu mwaka 1978, amekuwa mkubwa akaamua kumtafuta mama yake, mama yake alimpeleka hapo...
habari zenu wapendwa
Nina mdogo wangu anaumwa sana mtoki tangu juzi, hana kidonda wala infection yoyote.
akienda hospital doctor anamwambia anywe dawa za maumivu tu na hazimsaidii.
Ila kuna mtu kaniambia kwamba mawazo makali sana pia yanasababisha mtoki tena ambayo umeyawaza masaa matatu...
Kaka yangu anaoa tarehe 24 April, bado wiki 1 ndoa ianze kutangazwa, wiki 1 moja iliyopita kapigiwa simu na binti 1 akajitambulisha kwake wanajuana waliwahi kuwa na uhusiano mwaka 2004 wakaachana alimfumania msichana, kumbe wakati wanaachana msichana alikuwa na mimba hajijui wakapoteana msichana...
Wapedwa kwa wale mlioko dar,
Nawakaribisha kwenye ufunguzi wa huduma ya Ngurumo ya Upako hapa dar es salaam, itafanyika kwenye viwanja vya Tanganyika pakers Kawe, na ibada zitakuwa zinaendelea hapo kila jumapili, Mtumishi wa Mungu Geor Davie atakuwepo kukuhudumia.
Mimi ni muumini wa kanisa...
Nina rafiki yangu, alitegemea kufunga ndoa dec thisyear,
Jana amemuacha mchumba wake waliyekaa 5 years tangu urafiki hadi uchumba.
huyo mchumba wake katoka arusha kaamia hapa dar huko maeneo ya kimara kwa biashara zake.
Hapo kwake kuna kisima cha maji , kwa hiyo majirani wanakuja kuchota...
Mwafrica mmoja mwanaume, alialikwa kwenye sherehe na wazungu huko ulaya,
sasa akaamua asivae nguo aende uchi, alipofika wazungu wote wakamzunguka wakamwambia suti yako nzuri ,
Lakini mbona hiyo tai umeifunga chini sana. ( wazungu walivyoona uume wa mwafrika walifikiri tai inaning'inia sasa...
Nina matatizo ya meno yananiuma sana, hayajatoboka ni mazima kabisa yanauma tu na wakati mwingine nasikia yanatingishika nimeshamuona daktari akaniangalia angalia hapo, akanishauri dawa za kupigia mswaki lakini kila mara tatizo linajirudia mwenye kujua naomba anisaidie, pia nimeshatumia dawa ya...
watu mnapokutana na kuanzisha uhusiano inachukua muda gani mpaka muamue kufunga ndoa?
mnaweza kuwa kwenye uhusiano na mtu baada ya miezi mitatu akwambie anataka mfunge ndoa kwa hiyo muanze maandalizi?
nataka disadvantage na advantage na huwa ni kawaida vitu kama hivi au kunakuwa na tatizo
Kuna habari nimezisikia kutoka kwa watu mbali mbali kwamba mtu anapokufa, akazikwa zile siku tatu yaani siku alipozikwa unahesabua ya kwanza unaongeza siku zingine mbili anakuwa bado yupo duniani anatembea tembea, na anamfuata yule mtu aliyekuwa anampenda sana au wanaelewana kama ni mchana...
Mimi nashangaa mwanaume anapofariki kama alikuwa na mke au mchumba wanaanza kumsakam huyo mwanamke na kudai anajua mali za mtota wao zilipo.
Kuna rafiki yangu mchumba wake amefariki juzi amezikwa jana aliuwawa na majambazi huko kampala na ilikuwa afunge ndoa na mchumba wake wiki mbili...
Juzi jpili nilihudhuria kwenye maombi ya ngurumo ya upako na nabii geor davie ambaye aliendesha maombi kwenye ukumbi wa diamond jubilee kwa kweli yesu anatenda miujiza pamoja na kwamba watu watasema mengi lakini nimeshuhudia kwa macho yangu , mimi sitakiwi kujua anatumia nini na anafanya nini...
Kwanza nadhani kwa wote waliosoma st. Magret wanakumbuka jinsi tulivyolima mashamba na kung'oa visiki vya kahawa.
Je mnakumbuka tulivyokuwa tunacheza netball na Ashira Girls wanatufunga tunawazomea tunawakimbiza na makele.
Mnakumbuka mto chapadindi siku ya shida ya Maji tunaenda kuoga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.