Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

  • Poll
Habari wakuu, Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Champions League 2024 na kwa nini?
2 Reactions
19 Replies
484 Views
Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically . Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew Wanzaa kwa mpango Wapo logically Wapo na mental well being. Be blessed , Golden generation.
11 Reactions
56 Replies
640 Views
Wadau poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Napenda kujua,maana mara nyingi escudo zenye shape hii,ona picha huwa ni v 6 cc 1990.Je kuna zenye Cc 1590. Na je kama watalaam wa magari mnanishauri...
0 Reactions
1 Replies
25 Views
Mwanaume kama unaweza mke wako asiajiriwe, fanya kweli. Hali sio poa huku, mnapigiwa sana.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hii ni hadi lini? Mwenzenu naona umri unasonga tu lakini beki hazikabi, yaani jitihada bado hazizai matunda kila nikijaribu kujizuia. Je, ni uvumbuzi wa Tanzania pekee au hadi kwa wenzetu?
3 Reactions
15 Replies
156 Views
Mtaalamu na mbobezi wa masuala ya sheria, Profesa Abdallah Safari amefichua siri ya kujiweka kando na shughuli za kisiasa badala yake ameamua kukitumia ipasavyo kipawa chake cha utunzi wa vitabu...
4 Reactions
14 Replies
230 Views
Ghafra bin Vuu! Unakutana na Mamba kaking'ang'ania kibunda mdomoni. Utachukua maamuzi gani?
0 Reactions
1 Replies
31 Views
Gen Z katika ubora wetu. Mungu atusaidie kwakweli maana tuendako sijui itakuwaje.....
1 Reactions
17 Replies
333 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
"SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA" Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka, Jijini Arusha, hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya...
32 Reactions
102 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,975
Posts
49,590,825
Back
Top Bottom