Nani mwenye makosa?

Mama ni mama tu aisee yani mimi huo mda hata kabla hajamaliza kujibu hivyo angeshangaa kiganja cha mkono kimeshajaa kwenye shavu lake, halafu namuacha asikilizie maumivu 🤒😎
 
Hapo mwenye shida ni huyo mama, maana alikuwa na nafasi ya kumlea mwanae katika maadili, lakini angalia maneno mama anayozungumza na mwanae et kamuulize baba yako aliyenipa mbegu, unataka mtoto ajibu nini hapo ili hali yeye hausiki na hizo mbegu wala hakuwepo wakati wanapeana hizo mbegu
 
Huyo mtoto kwa kumsikiliza hapo ana makosa kabisa....... Lakini ni ameku programmed angali mdogo ndio mana amefikia hapo.....wapo wa lika lake wengine wala hawawez jibu hivyo..... Wako wengi wa hivyo sio yeye tu.....So wamekua programmed na nani Mimi sijui

Mtot mdogo hivyo anasema "Mkitaka mnirudishe mliponitoa, sikutaka nije huku (duniani) mngeniacha huko huko niishi mwenyewe "
 
Ee Yesu wangu😰😰😰.. Nadhani hiyo siku ndo nitakatwa masikio baba akisikia namjibu mpenzi wa roho yake namna hiyo
 
Back
Top Bottom