Hapa serikali inanichekesha Sasa kama sukari ya nje ilikuwa imeshaagizwa tayari na inakuja kulikuwa na haja gan ya kujidai kwamba wanajali wananchi na kufatilia bei ya sukari na kukamata wafanyabiashara Kwa show off kwenye TV sukari ya nje ikishakuja na bei ndogo yenyewe tu itasababisha...
Hii issue mfumo serikali iliotumia kupanga bei elekezi una walakini kwanini wasifuatilie bei kutoka kiwandani wao wameanza na dealer kwanza dealers wenyewe wameachwa tu ila wanaenda kudeal na wafanyabiashara wadogo wasio hata na kosa lolote
Akili bandia(Artificial intelligence) ni miongoni mwa teknolojia za kizazi cha 5 cha computer zilizoanza kushika kasi sana.
Nimetazama video mbali mbali kuhusu Akili bandia na matumizi yake baadae imeniogopesha sana. Sijazama sana kiundani na kuifanyia utafiti.
Lakini nimewahi kusikia kuhusu...
Hata ukihamishia Rwanda au Kenya as long as una uraia wa Tanzania utalipa Kodi ya Tanzania kulingana na sheria ya Kodi inayohusiana na Residence... Labda kama atakana uraia wa Tanzania na kuomba uraia wa Kenya
Tatizo watanzania tunajidai tunapenda kujadili concrete issues wakati hata ujadili haikusaidii chochote... Chukulia maisha simple tu.. Kwani ulazima gani wa Kuanza kujadili mara Deni la Taifa mara Katiba mpya wakati unajua maoni yako hayafiki popote..
Mtu akiandika kitu unaskia eti watanzania...
Kwa fikra zangu nafikiri ni kwasababu ya pyschology.. kwasababu Walimu muda mwingi wanautumia wakiwa na Vijana na watoto.. basi hii inapelekea Pyschology na akili zao kujivika utoto ingali ni watu wazima.. Hivyo cells za mwili zinafanya adaptation kulingana na ubongo wao kukaa kwenye Mazingira...
Habari Wana Forum, naimani mu wazima wa afya.
Kabla sijaanza naomba radhi kwasababu ntatumia code mixing na code switching Ili kurahisisha ujumbe.
Kila mmoja ana jinsi yake ya kudefine na kuyaelewa Mafanikio. Lakini nijikite zaidi kwenye Mafanikio ya kiuchumi. Kichumi lakini pia kwa mtu...
Maisha ndivyo yalivyo some people are there to create critics in each and every matter somebody puts In life. However we've been taught not to listen to No sayers.. I practically think his words won't act as stick to pull you back but a go ahead Insipirational.. [emoji120][emoji120]
Ukisoma Hadi mwisho utaelewa kwanini Mwandishi Amesema ameandika huku analia
Wa Kuyafuta Machozi ashatangulia nimetumia tu njia ya kejeli sifurahishwi na kilichoandikwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.