Artificial Intelligence (Akili bandia): Tufurahi au tupo hatiani?

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,836
Akili bandia(Artificial intelligence) ni miongoni mwa teknolojia za kizazi cha 5 cha computer zilizoanza kushika kasi sana.

Nimetazama video mbali mbali kuhusu Akili bandia na matumizi yake baadae imeniogopesha sana. Sijazama sana kiundani na kuifanyia utafiti.

Lakini nimewahi kusikia kuhusu robots ambazo huko mbeleni zinaweza kufanya kazi badala ya binadamu kwa maana hii Factories na sehemu nyingi zilizokuwa zikitumia jitihada za binadamu hazitakuwa na ulazima tena kutokana na ujio wa Robot zenye akili bandia.

Hivi sasa zimeanza kuibuka Apps mbalimbali zenye Akili bandia zenye uwezo wa kutumika kama search engines zenye quality informations za kutatua matatizo yako ya kitaarifa na maswali hoja na ideas. Kwa Mfano App kubwa iliyovuma kwa Jina la CHAT GPT ambayo ina taarifa kede na huweza kukujibu maswali kama vile unachat na mtu.

Apps nyingine kama YOURMOVE yenye uwezo wa kukusaidia kwenye issues za kuchat na kukusaidia kuapproach msichana au kutongoza na vinginevyo.

Zimeanza taratibu lakini umaarufu wake utazidi kukua na kupenya kwa haraka.

Naombeni mtazamo wenu kuhusu hili Jambo mwenye info zaidi kuhusu Artificial Intelligence. Inaweza kuwa na faida hapo baadae au ndo itaenda kabisa kuharibu our life systems and humanity.
 
Telnolojia haiui tu kazi bali inazalisha kazi zingine hivyo, AI itaua kazi nyingi lakini itazalisha kazi nyingine haswa kwa watu walio talented na wana jitihada kwa kile wanachokifanya.
 
Tupo kwenye kizazi kinachoenda kwa kasi sana kiuwezo, hata movies zinazotoka kipindi hichi zinauwezo mkubwa sana technology iliyotumika humo ni kubwa
 
Back
Top Bottom