Mim ni kijana ambaye natafuta mchumba.
Sifa kuu za mchumba ninayemtafuta;
1) Awe muislamu.
2) Awe serious.
3) Asizid miaka 35.
Mimi sasa sifa zangu;
1) Kwasasa najishughulisha na biashara.
2) Mweusi.
3) 33 ndio umri wangu.
Karibuni tujenge familia ili mwaka 2023 tuanze vyema.
Kiukweli inasikitisha kwani hata miminaona watu kibao tofaut na walimu mfano manesi wamejaa ,manwana shamba wengiiiiiii hatari tena wengine ni watu wazima kabisa
Hii mbinu ni nzuri ila kwa wanawake wa sasa kupata utachukua muda sana maana wanawake wengi wako hivyo hata mimi nimetumia mbinu hii kiukweli wanawake wengi unapowanyima pesa hawaineshi upendo ila njia hii ndio njia sahihi kabisa yani kama unataka mke lazima ujiridhishe isiwe anataka pesa zako...
Kabla yangu mimi alikuwa anaishi vipi maana kabla yangu mimi alikuwa na maisha yake sasa asibadilishe maisha kwasababu kanipata asifanye hivyona pia kama atakiwa anategemea wanaume kwahiyo hawez huyo msichana hata siku moja kuwa single maana akiwa single atakosa wa kumuhudumia ushauri wangu...
Kama kawaida sijapata mchumba ambaye siku moja atakuwa mke kiukweli nakuhitaji uje tujenge maisha sifa zangumimi
1)Mtumishi wa serikali na hapo mama kesha fanya jambo hapo lake
2)mrefu kiasi
Ninaemuhita awe na sifa zifuatazo
1)Awe mtoto wa kiislamu
2)Mkoa wowote
3)Awe mweupe
4)Elimu sio muhimu...
Unaenda kituo ambacho kinaruhusu kurudia mtihani iwe center ya kufanyia mtihani au secondary kikubwa kituo hicho kiwe kimeidhinishwa na BARAZA LA MTIHANI baada ya hapo utaomba refference namba ila katika hivi vituo huwa kuna malipo na malipo yanatofautiana kulingana na kituo chenyewe yaani kituo...
comment kama hii nilikuwa naitafuta siku nyingi wewe hupendi kufanya mapenzi ila unapenda kila siku nikusaidie je wewe nafaidika na nini kwenye nahusiano yangu na wewe maana utelezi hunipi na bado unaniambia tusubiri wakati mimi kila siku unaniomba hela kama kufanya ngono unaona tusubir basi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.