Tony254,
Ningekuwa mm ni wewe ningejitoa kwenye mijadala ya mitandao ya kijamii maisha yote! Haiwezekan juzi tu hapa hela ya Korona mmehongwa watu wameipoga juu kwa juu kama chakula cha msibani! Hivi taasisi zenu ni kweli hazina meno kabisa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni mikopo tu, na mzee baba alishaliongelea hili ndio namwelewa...walisisitiza lockdown ili wawakopeshe kwa riba ya juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16]kati ya elimu iliyofanya niwehuke ni advance, kwanza topic ndeefuu mm nadhan tushamaliza kumbe niko mle mle topic haijaisha! Kati ya kitu sijawah kufanya toka primary had leo ni swala la kuingia mlango wa twisheni..
Sasa advance kuna matoto ya homebased parents wanaingia...
Mistakes hazitakaa ziishe duniani, kama hukufanya wewe basi atafanya mtu wa karibu yako sana! Na mistakes ni kama past ambavyo havina wino wa kufutia!
Fanya utafiti wengi waliofanikiwa among family members sometime hadi ngazi za kuwa vyeo vya juu ndani ya nchi, financialy, akili za maisha...
Nikuulize kitu mkuu, kuna vitu unafanya ili kupata kuteka interest zake? I mean unaenda zaidi ulivyokuwa kabla.
Mfano kuna msichana mpya ukimpata full kuponda wavulana wanaovaa aina fulan ya nguo so unakomaa kununua zile apendazo umvutie...kuna msichana ukimpata anaponda aina za magari so...
Wabudu wazungu bwana mna kazi sana..nani kafa na korona Tz hadi sasa...yani marekan kwa bongo kila kitu huwa inajifaraghua faraghua yani ilimradi ...balozi aliopo kwa sasa bongo seems ni mtu wa kiki na beef za.
Ngoja azoe mazombi yake ayarudishe makao makuu ya korona yawahi kujifia jirani na...
[emoji16][emoji16] kwa nn umesema hivyo mkuu....sio marketing nautumia huo mtwango kwa sasa...najua nisemacho...au unataka utamaso?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba lete hela umalize uroho wa music....hii inakataga hamu zote! Labda ukipata hii ukaendelea kumiss muzik basi utakuwa na shida zingine
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.