Pongezi kwa Mabeyo Mkuu wa majeshi Mstaafu kwa kusaidia kutuvusha katika kipindi kigumu, baada ya hapo suala la kuifunga awamu kipindi kinachompa ruhusa ya makamu wa Rais kushika madaraka kwanini ilitokea kizungumkuti na kuamua kubadili gear angani nakuanza awamu mpya awamu ya sita lengo...
Hakuna shaka kwamba Mama Maria Nyerere, atadumu katika historia kama mke wa mwasisi wa Taifa letu. Kama ukili wetu ukiona mafanikio ya mwanamme basi nyuma yake kuna mwanamke mwenye busara.
Tusingoje Maria afe ndo tumpe mtaa.
tre bien wenzetu walinyolewa sisi tutie maji kwa maana ya kuweka mikataba ya maslahi bora kwa Nchi yetu, ufaransa sasa hivi inajitafuta na hii ni fulsa kwetu, wachimbe ulanium mikoa ya kusini ambayo mwamerika ameweka kama reserve wakati sisi tuna njaa ya pesa mjazano wa nikeli kababnga na...
it is a pity to loose this amount of money, politics versus economic and poor management factors this must be observed ,most of cattle herders are not originality occupancy of this area they are Masais and Sukuma who have destroyed there area and they shift to other ares to look for...
Naliomba Bunge tunapofikia kujadili ustawi wa jamii michezo ya kubahatisha toeni sauti Taifa linaangamia, hata kama Mwigulu anaona ni sawa tu kwa kuwa pesa inaingia, faida ya pesa inayopatikana na madhara ya michezo hiyo kwa Taifa ni ni sawa na tone. Mwenyezi Mungu ameharamisha betting kwa nini...
tulichelewa sana kufika hapo, tena ikiwezekana wawekwe wakandalasiwatano na wapewe miezi 12 tu ikutane na uchaguzi wa next year. bora hawa wajenge kuliko hao wanaokusanya na kuweka ng'ambo. Mama kazi iendelee.
Jana Mheshimiwa Bashungwa mbunge mwenye sifa rukuki alitufungulia Bweni la shule ya KARADEA yenye capacity ya vitanda 320 waoo. Pamoja hotuba yake nzuri ya kuwaomba walimu wawafundishe watoto namna ya kujikinga na ajari mbalimbali, lakini hilo Bweni peke yake ni ajari unawezaje kuwaweka watoto...
Ukipenda unaweza kuchukua ushauri huu, huu si wakati muafaka wa kufanya uchaguzi kabla katiba haijakaa sawa, moja ya jambo muhimu miiko ya kulinda tunu na uchumi wa Taifa bado inahitaji maboresho vinginevyo kila mmoja atakayeingia ataanzisha yake na kulipa muzigo Taifa kama unavyohangaika hivi...
Ahsante Clouds aksante Kusaga and your team, kuna watu wamefanya mambo makubwa, pengine record zao si rahisi kuzivuja, mfano Mama Mongera na spika mstaafu Makinda na wengine wengi wameshapewa tuzo nyingi na pengine idadi yake hawaimbuki;
Lengo la tuzo ni kukumbuka mchango wake lakini la muhimu...
madaladala mengi ya wakubwa ndiyo sorce ya hujuma ili wapige pesa, fanyeni hivi wauzieni yote ikibidi kila mmoja aweke nembo yake musiajiri madereva wala makondactor ninyi tozeni kodi kwa kila basi kwamwezi, siyo rahisi kwa mtazamo wa biashara ya kidunia serikali kufanya biashara mabasi ambayo...
Tumeshuhudia ubora wa utawala wa mwanamke Samia, nashawishika kuanza sala na maombi, kwa kuwa uongozi unatoka kwa Mungu ikimpendeza akitoka samia aingie Tulia Akson
Ni mapema mno lakini wazo hili limweke kwenye hadhara watu wachambua strength na weekness zake mapema ili nuru ikiangaza juu yake...
Kwanza tusisahau kwamba hata hizo km 12000 mnazompa kikwete alisimamia yeyeJPM alifanya maamuzi magumu sana ambayo maRais wote waliopita hawakuthubutu, kuhamishia makao makuu kuwa Dodoma, ni uthubutu wa aina yake hiyo ni no revise, daraja la kigongo busisi i, natamani daraja likamilike tupite...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.