Recent content by Tlaatlaah

  1. Tlaatlaah

    Taasisi za serikali kuwa na viongozi wakristo ni jambo la kawaida

    fikra za udini ni uchochezi wa kizamani usio na tija kiutendaji, bali ufanisi wa Taasisi ndio kitu cha maana na muhimu zaidi kuzingatia 🐒
  2. Tlaatlaah

    Pacha wa Makonda ni Chacha wa Tabora

    mara nyingi katika utawala, viongozi wasio wazalendo siku zote wanakua, si wadilifu, si weledi katika kazi zao, na vilevile si waamunifu kabisaaaa 🐒
  3. Tlaatlaah

    ALI HAPI AIPASUA JUMUIYA YA WAZAZI HALI TETE

    mbona upotoshaji wako mwepesi na rahisi sana kamanda, utalipwa kweli?🐒
  4. Tlaatlaah

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    umefanya vizuri :whatBlink:
  5. Tlaatlaah

    Ni aibu kwa bunge la Tanzania kususiwa na wananchi

    acha upotoshaji kamanda, si kweli, hakuna aliechukua kazi ya mtu na kugawana kwenye ukoo wake, hilo halipo kabisa kamanda :spandauB: mimi nafanya kazi ya wanainchi kwa bidii na weledi, kwa pamoja na wanainchi wenyewe. lakini jata siku moja siwezi kuzembea hata kidogo kazi yangu ya msingi na...
  6. Tlaatlaah

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    kwanza kabisa mihemko na maneno yako mbofumbofu ikusaidie wewe mwenyewe, pande hii ni useless kabisa:spandauB: jambo la pili, daima siwezi kuchoka wala kunyamazia upotoshaji wa wazi hata kidogo, wala siwezi kuwafurahisha wavivu na walalamikaji kwa uvivu wao :spandauB:
  7. Tlaatlaah

    Kura za Maoni na mchujo ndani ya CCM zitakua na ushindani mkali zaidi ya Uchaguzi Mkuu ujao

    kama chama, lakini pia kama nchi, chini ya kiongozi madhubuti sana comrade Dr.Samia Suluhu Hassan, tumepitia changamoto mbalimbali ngumu na nyepesi, mathalani uviko19, kuondokewa na mkuu wa nchi kipenzi cha waTanzania hayati comrade J.P.Magufuli, R.I.P mkuu, tumepitia pia changamoto ya athari...
  8. Tlaatlaah

    Kura za Maoni na mchujo ndani ya CCM zitakua na ushindani mkali zaidi ya Uchaguzi Mkuu ujao

    kupitia CCM imara, waTanzania kwa mamilioni yao, watazishinda kwa kishindo hila, mipango na njama za vibaraka wa mabwenyenye kwenye sanduku la kura mchana kweupe :BASED:
  9. Tlaatlaah

    Nina jasho lenye harufu kali sana. Je, kuna dawa ya kutibu tatizo hili?

    fanya mazoezi ya kutosha ya kuvuja jasho sana itapungua na itakaa sawa, utakua nadhifu na hutajiskia unatoa kijasho cha harufu mbaya tena :BASED:
  10. Tlaatlaah

    Nahitaji kujua zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu la mpiga kura unaanza lini

    zoezi litatangazwa kuanza katika muda usiokua mrefu hususani baada ya vikao vya bunge la bajeti kumalizika :whatBlink:
  11. Tlaatlaah

    Kura za Maoni na mchujo ndani ya CCM zitakua na ushindani mkali zaidi ya Uchaguzi Mkuu ujao

    yaliyopita sio ndwele tugange yasasa na yajayo kwa amani.... uelekeo wa ccm, matarajio, matumaini na matamanio ya wana ccm na waTanzania kwa ujumla ni ya kipekee sana wakati huu kuliko wakati mwingine wowote. Uhakika wa uhalali wa viongozi watakaoteuliwa na ccm, kupeperusha bendera ya ccm...
  12. Tlaatlaah

    Kura za Maoni na mchujo ndani ya CCM zitakua na ushindani mkali zaidi ya Uchaguzi Mkuu ujao

    pale nyasa uchaguzi chadema, ni baina ya chairman Vs vice chairmani in shadow:pedroP:
  13. Tlaatlaah

    Kura za Maoni na mchujo ndani ya CCM zitakua na ushindani mkali zaidi ya Uchaguzi Mkuu ujao

    hakuna mahali wanaenda, wala kufurukuta hao wangwana :pedroP:
  14. Tlaatlaah

    Kura za Maoni na mchujo ndani ya CCM zitakua na ushindani mkali zaidi ya Uchaguzi Mkuu ujao

    sina shaka yoyote na sekritarieti madhubuti ya ccm iliyopo, ati kuzima sauti za wana ccm kwa kuwakata majina viongozi walio wachagua ktk kura za maoni licha ya kwamba walipata kura nyingi zaid ya wengine, na ambao ndio wanao pendwa na kukubalika zaid na wana ccm wengi, lakin pia na nje ya...
Back
Top Bottom