Nina jasho lenye harufu kali sana. Je, kuna dawa ya kutibu tatizo hili?

Huyu Jamaa Anaweza Kuwa na Tatizo la hyperhidrosis..
Ila kuna uwezekano Akawa na Ugonjwa wa Ngozi ajaribu Kumuona Daktari wa Ngozi..

Maana Harufu Huletwa na Fungi au Bacteria kwenye Ngozi...Japo inaweza kusababishwa na Mabadiliko ya Hormones pia..

Cha kumshauri Atumie Deodorant Hizi Dry skin Deodorant sana sana atumie antiperspirant Deodorant Sana sana zilizo na bei nzuri kwa Tz atumie NIVEA antiperspirant Deodorant..

akitumia Hiyo Tatizo litaisha au litapungua kabisa..

Cc: Staphylococcus Aureus
mkuu tatizo lqngu nalijua nachotaka suluhu ya kudumu si sijui doderant
 
mfano ipi?
Zipo za kike na za kiume ,kiume kuna gillet ,ultra max,na kiboko kabisa ni secret ,hii wanapaka wanaume na wanawake hua inapatikana katika harufu tofauti tofauti,ila inabei 30k .

kingine nunua maduka yanayoaminika wengine wanauza fake unashangaa ukipaka hakuna tofauti ,kama upo dar nenda pale shoprite upande wa vipodozi zipo kibao,hata sh. Amon mlimani city pia zimejaa,zenayna beauty sinza kwa remy stend & akclassiccosmetic mlimani city karibu na total.
 
sawq !!
hiyo secret ni secret nn au jina limeishia hapo
 
mkuu tatizo lqngu nalijua nachotaka suluhu ya kudumu si sijui doderant
Ndo maana nikaandika Solution zote nne za Muda mrefu,Za mda mfupi na Za kutatua kwa Muda...

Mwanzoni nimesema Unatakiwa Kumuona Dermatologist kwa ajili ya Checkup na Vipimo zaidi..
Na vingine vilivyofuata ni Maelezo jinsi unavyoweza kutarua kwa Muda
 
Wakuu,

Nina hili tatizo muda mrefu hata nijiloweke kwene jiki bado ngoma iko pale pale.

Nashukuru Mungu ni mwanaume ningekua Mwanamke nadhan ningeteseka zaidi.

vitu ninavoogea
1. Deto ya maji
2. Sabuni ya mikono
3. Medicated soap

Mbaya zaidi joto kidogo na sweat kwa sababu watz wengi hawako sensitive nikiogea hiyo watu wanaona atleast ila nikikutana na mtu ambae yupo sensitive lazima akimbie. Nguo nikivaa mara moja niinuse huwa naanguka kwa kizungu zungu.

Sasa kuna sehemu tunapiga story kuna demu ana nuka kikwapa.Wana wakasema kuna dawa za mitishamba ukiogea tatizo linaisha kweli!! Je kuna hiyo kitu?

Kama ujuavyo Watanzania hawanaga deep info
fanya mazoezi ya kutosha ya kuvuja jasho sana itapungua na itakaa sawa, utakua nadhifu na hutajiskia unatoa kijasho cha harufu mbaya tena :BASED:
 
Back
Top Bottom