RC Makonda aagiza Takukuru kumkamata DED na Watendaji wake wanaotuhumiwa kwa Ufisadi wa tsh million 19 mara Moja na wasirudi Ofisini!

Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewaagiza Takukuru kumkamata DED wa Arusha na Watendaji wake wanaotuhumiwa kufisadi tsh 19 million za mwekezaji wa sekta ya Utalij Chamburo

Aidha RC Makonda amepiga Marufuku tabia ya maafisa wa TRA kupeleka Demand Notice za madai ya Kodi wakiwa wameambatana na Vikosi vya polisi

Arusha kumeshakucha
Mil 19 tu jamaniii...halafu utakuta ni tuhuma tu

Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
 
Ni Jambo jema Sana kiongozi kufanya maamuzi ya haraka

Lakini je Takukuru Arusha hawawezi kuchukua hatua Hadi Rc awape maagizo
Au walikuwa kwenye mchakato Rc akaona awasukume kidogo

Maana Rc ilitakiwa awaulize kwanza Takukuru hutua waliochukua kabla ya kuwapa maagizo tofauti na hapo Tutaona Rc anatafuta kiki tu kwenye Mifumo ya kazi ya Takukuru

Kama sivyo Basi kiongozi wa Tukukuru Arusha awekwe Pembeni ili uchunguzi ufanyike kwanini hawakuchukua hatua kabla

Ni vizuri nchi iongweze kwa Mifumo sio matamko
Mfumo wa Takukuru umeonyesha udhaifu kwa muda mrefu
Ni Swala la muda mrefu bilashaka RC kama Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ana taarifa zote
 
Ni Jambo jema Sana kiongozi kufanya maamuzi ya haraka

Lakini je Takukuru Arusha hawawezi kuchukua hatua Hadi Rc awape maagizo
Au walikuwa kwenye mchakato Rc akaona awasukume kidogo

Maana Rc ilitakiwa awaulize kwanza Takukuru hutua waliochukua kabla ya kuwapa maagizo tofauti na hapo Tutaona Rc anatafuta kiki tu kwenye Mifumo ya kazi ya Takukuru

Kama sivyo Basi kiongozi wa Tukukuru Arusha awekwe Pembeni ili uchunguzi ufanyike kwanini hawakuchukua hatua kabla

Ni vizuri nchi iongweze kwa Mifumo sio matamko
Mfumo wa Takukuru umeonyesha udhaifu kwa muda mrefu
labda ungeuliza kwamba, kwa hali ya hewa aliyoionyesha rc dhidi ya mkurugenzi, unafikiri takukuru watakuja na jibu lisilomfurahisha rc?
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewaagiza Takukuru kumkamata DED wa Arusha na Watendaji wake wanaotuhumiwa kufisadi tsh 19 million za mwekezaji wa sekta ya Utalij Chamburo

Aidha RC Makonda amepiga Marufuku tabia ya maafisa wa TRA kupeleka Demand Notice za madai ya Kodi wakiwa wameambatana na Vikosi vya polisi

Arusha kumeshakucha
Kwa sasa hawa TRA ni kama wahuni flani mfanyabiashara analetewa bill ya miaka 7 eti hujawahi kulipa kodi, na wanakwambia kama ulilipa tupatie rist, ukikosa hizo rist wanasema kalipe upya vinginevyo hatukupi huduma, TRA wamekuwa kero kwa kubambika watu madeni ya uhongo.Hivi hizo computer zao hazifanyi kazi ? Au wanajizima data.TRA Ni kero kupita kiasi.Mara ooh! Utuletee stock yako ndani ya siku 3.
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewaagiza Takukuru kumkamata DED wa Arusha na Watendaji wake wanaotuhumiwa kufisadi tsh 19 million za mwekezaji wa sekta ya Utalij Chamburo

Aidha RC Makonda amepiga Marufuku tabia ya maafisa wa TRA kupeleka Demand Notice za madai ya Kodi wakiwa wameambatana na Vikosi vya polisi

Arusha kumeshakucha
Makonda mara zote anasimamia mambo yanayowagusa wananchi. Aendelee hivyo hivyo hata kama anasemwa na udhaifu mwingine lakin kama kiongozi ni lazima ufanye hayo. Namuunga mkono.
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewaagiza Takukuru kumkamata DED wa Arusha na Watendaji wake wanaotuhumiwa kufisadi tsh 19 million za mwekezaji wa sekta ya Utalij Chamburo

Aidha RC Makonda amepiga Marufuku tabia ya maafisa wa TRA kupeleka Demand Notice za madai ya Kodi wakiwa wameambatana na Vikosi vya polisi

Arusha kumeshakucha
well done RC comrade Paul Christian Makonda 🐒
 
Back
Top Bottom