Ok mkuu nakubaliana na wewe asilimia 100%. Naomba nitangulize hofu ya Mungu kama kigezo cha kwanza , then IQ na vingine. Ila kuhusu uchawi ukichunguza zaidi kwa majirani na ndugu wa karibu wa binti wanaweza kukupa hint.
I know you got me, you heard me correctly! Ndio ukweli hata kama utakataa, chunguza magonjwa ya kurithisha kama kifafa, ukichaa katika familia ya mrembo, chunguza uwepo wa historia ya uchawi na ulonzi ndani ya familia ya mrembo, Angalia kwa makini vitu vibaya vingine vya kurithisha.
Kibaya...
Hivi humu ndani kuna wengine tuna matatizo ya akili. Huyu jamaa mbona ananiandama with personal attack wakati mimi naongelea maisha ya ujumla ya watu na ishu zetu. Moderators please mnilinde. Hili JUKWAA LIKO WAZI SIO LAZIMA UKUBALIANE NA MTOA HOJA. Weka hoja yako pinzani mezani then wasomaji...
Yaani umetoa mfano mzuri kabisa, hapo ferry nilikuwa naenda Zanzibar , mpaka nikwa napigana na abilia. Wako very very slow, nilipofika ZANZIBAR mpaka nawapiga vikombe ili nipite. Hili ni janga la kitaifa ingawa wengi tutapinga
Wengi hawatatoa shuhuda zao ila wanachosema kinatokea sana kwa wanaume kamili. reglet inakuja baadae, sasa wengine wanmewekeza majumba na magari, tena wanapigwa chini
Wewe si ni Mhandisi, ebu wapatie mafundi kazi ndogo tu ya ujenzi au uhashi, halafu uone wanavyofanya kazi kwa muda muhafa, halafu uone quality ya kazi zao. Yaani kwa ujumla tubadilike, ingawa si wote ila asilimia kubwa tuko slow
Sawa sawa niko slow ndio maana nikasema watanzania tuko slow, including wewe ambaye hujui busara ya uhandishi, kwani kusema mtanisamehe ina huhusani upi na kuwa slow. Hiyo ni art ya uhandishi ambayo kila mtu anayakwake. Wewe soma hoja ya msingi
Umeambiwa mlikuwa mnasubir taa ziwake na zimewaka, trafiki yuko pembeni karuhusu na yeye kwa mkono, wewe umezubaa na wewe pia ndio haohao, kwa hiyo mpaka trafiki kumkemea jamaa unafikiri alikuwa mjinga. Yes defensive driving sio kuendesha taratibu tu kama hujui, unaweza kuendesha taratibu na pia...
Yaani umetoa mifano mizuri sana tuko very slow kwenye kila kitu,nina ndugu zangu fulani ni jobless, ok ila mmoja ni fundi na mwingine ni mtaalamu wa computer, huyu mtaalamu wa computer ndugu mmejichanga na mumfungulia duka la vifaa na kutengeneza computer ili achichange na kuyamudu maisha na...
Ahhaaaa kwa kweli wavivu wengi, mbumbumbu wengi, masikini wengi wanapoenda vitu vyashortcut, halafu ni qapenzi wa starehe sana, hasa hasa starehe ya tunda na ndio maana tunazaliana kama nguruwe na kutengeneza viscous cycle ya poverty
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.