Search results

  1. T

    Jamani, ashakum si matusi ila sisi Wabongo tuna mapungufu mengi ila kibaya zaidi tuko very very slow almost kwenye kila kitu

    Jamani, do yaani tumefikia kukata tamaa.Lakini kweli maisha yamekugonga na ukichanganya na njaa basi akili na mwili mzima unadumaa ,hakuna haja ya kuwa sharp. kingine ufanye haraka,uchelewa hakuna motivation yeyote,sasa kwa nini niharakishe sasa
  2. T

    Jamani, ashakum si matusi ila sisi Wabongo tuna mapungufu mengi ila kibaya zaidi tuko very very slow almost kwenye kila kitu

    Ahaaaaa nimecheka mpaka mbavu sina.Labda uwezo wa kuelewa hoja uko slow, au uwezo wa kuchngia uko very very slow
  3. T

    Jamani, ashakum si matusi ila sisi Wabongo tuna mapungufu mengi ila kibaya zaidi tuko very very slow almost kwenye kila kitu

    Mimi mtanisamehe jamami, ngoja niseme tu najua mtanishambulia potelea mbali Leo kwenye junction, taa za green ziliwaka kuturuhusu, nyuma kuna magari zaidi ya 30, jamaa mbele yetu katangulia , bara bara iko bussy ila dereva huyo wa gari la mbele akawa anaenda very very slow kama vile yuko peke...
  4. T

    "Wakati watu wanalia kuhusu kikokotoo nilikuwa naona kawaida, sasa nimeona ukali wake" Mtumishi aliyeambulia 10M baada ya kustaafu miaka 33 Magereza

    Kuandaa cha kufanya bila kuandaa namna ya kufanikisha unachoandaa ni sawa na kuota usingizini
  5. T

    "Wakati watu wanalia kuhusu kikokotoo nilikuwa naona kawaida, sasa nimeona ukali wake" Mtumishi aliyeambulia 10M baada ya kustaafu miaka 33 Magereza

    Bora umesema, yaani wakuu wao wamepewa priverage kibao hapo kila siku anapokea miposho kibao, 10% za kumwaga na pension yake haitumii kabisa kwani atapewa kila kitu anachohitaji wakati wa kustaafu. Au mmesahahu yule aliyepewa V8 mpya kabisa
  6. T

    "Wakati watu wanalia kuhusu kikokotoo nilikuwa naona kawaida, sasa nimeona ukali wake" Mtumishi aliyeambulia 10M baada ya kustaafu miaka 33 Magereza

    Tunafahamu kuna viapo, hakuna aliyesema waandamane. Lakini kuna passive way of resisting an injustice policies, hata kutumia watoto wao. Pia na wao kutokuwa mstari wa mbele kuwahadhibu wale wanaotetea marupurupu yao. Unakuta askari kakomaa na fimbo anachapa na kupiga kwa furaha mtu ambaye...
  7. T

    "Wakati watu wanalia kuhusu kikokotoo nilikuwa naona kawaida, sasa nimeona ukali wake" Mtumishi aliyeambulia 10M baada ya kustaafu miaka 33 Magereza

    Na haswaaaa na hii ndio ilikuwa maana ya bandiko langu. Kwamba tusisubiri mpaka yatufike shingoni ndio tukurupuke na kulaani,inakuwa too late. Ni vizuri tucheze karata zetu kwa usmart pale tunapoambiwa hiki si sahii
  8. T

    "Wakati watu wanalia kuhusu kikokotoo nilikuwa naona kawaida, sasa nimeona ukali wake" Mtumishi aliyeambulia 10M baada ya kustaafu miaka 33 Magereza

    Hivi bro.. ukiona mtu mzima anatoa machozi usifikiri masihala, je unajua huyu jamaa alikuwa akipokea mshahara wa shilingi ngapi? je unajua ana watoto na wategemezi wangapi? umemsikia akisema alitegemea hela hii ya mkupuo anunue ka-shamba na kuanza kulima, kwa hiyo inawezekana hana nyumba hata...
  9. T

    "Wakati watu wanalia kuhusu kikokotoo nilikuwa naona kawaida, sasa nimeona ukali wake" Mtumishi aliyeambulia 10M baada ya kustaafu miaka 33 Magereza

    Nimenukuu kwenye original news nilipotoa taarifa hii. Nafikiri ni mkuu wa Jeshi la Magereza, ila wataalamu watatujuza humu
  10. T

    "Wakati watu wanalia kuhusu kikokotoo nilikuwa naona kawaida, sasa nimeona ukali wake" Mtumishi aliyeambulia 10M baada ya kustaafu miaka 33 Magereza

    Mara nyingi tunajiona tuko salama, tunafikiri mabadiliko, kanuni, sheria za kigandamizi zinazofanywa na watawala hazituhusu sisi hasa hawa watumishi wa uma; watu wa magereza, wanajeshi, maaskari police, watumishi wa almashauri, walimu, mahakimu n.k. Hutashangaa kusikia kada hizi zikikemea...
  11. T

    Ukiacha Uzoba wa kutojua lugha ya Kiingereza Watanzania pia ni wa mwisho kwenye uwezo wa akili za maisha na darasani hapa Afrika Mashariki

    Ukiona watu/mtu anaacha mada iliyomezani na kushambulia personality, kabila, rangi, nchi etc ujue huyo au hao watu hawana majibu ya hoja, au ni mazuzu. Hoja ya jamaa ni hoja nyeti sana na ameweza kutoa mifano michache tu. Bottom line elimu yetu dhaifu na social life yetu ya kiswahili na uswahili...
  12. T

    Kwanini Kiporo cha Wali Maharagwe Yaliyo na Nazi ni Kitamu Zaidi ya Chakula Hicho Hicho Kikiwa Fresh from Kitchen

    Tena umepatia, hawa jamaa wanaojifanya wa Kishua , eti New York, London etc. Nakuhakikishia asilimia zaidi ya 90 wanakula kiporo na ni mara chache kula chakula fresh food, labda avizie restaurant kama ana shift ya kuhudumia Bwana eh! kwani shillingi ngapi? ngoja niwasanue tu kwani na sisi si...
  13. T

    Kwanini Kiporo cha Wali Maharagwe Yaliyo na Nazi ni Kitamu Zaidi ya Chakula Hicho Hicho Kikiwa Fresh from Kitchen

    Sure mada ilikuwa inahusu swali kwenye upande wa pathophysiology ya kiporo. Tunajua kiporo kinakuwa kinauchachaji fulani na kuchacha ni bacteria, sasa ni kitu gani cha kiphysiologia na kipathogia kinachosababisha kiporo badala ya kuwa kibaya SABABU YA VIBACTERIA VIDOGO VIDOGO VINAVYOANZA KUOTA...
  14. T

    Kwanini Kiporo cha Wali Maharagwe Yaliyo na Nazi ni Kitamu Zaidi ya Chakula Hicho Hicho Kikiwa Fresh from Kitchen

    Kwa nini msomi mbona mambo ya kawaida tu. Hayo ndiyo maisha yetu , tukianza kufikilia kufika mwezi ni lini bora tupige story za mambo marahisi
  15. T

    Kwanini Kiporo cha Wali Maharagwe Yaliyo na Nazi ni Kitamu Zaidi ya Chakula Hicho Hicho Kikiwa Fresh from Kitchen

    Sawa kabisa ila wewe utakuwa among outlayer kwenye statistics ambao ndio wale 5% ya waliobaki kwenye research ya mtoa mada. Ebu pitia random responses za wachangiaji utagundua niko sahihi. Ila si vibaya kuna watu wanajitengenzea standard zao kwa hilo si vibaya kuona kiporo ni kibaya. Infact...
Back
Top Bottom