"Wakati watu wanalia kuhusu kikokotoo nilikuwa naona kawaida, sasa nimeona ukali wake" Mtumishi aliyeambulia 10M baada ya kustaafu miaka 33 Magereza

HIVI nyie mnaowasema askari,mnazijua protocal na viapo vyao?au mnajisemea tu...brabrabra
Tunafahamu kuna viapo, hakuna aliyesema waandamane. Lakini kuna passive way of resisting an injustice policies, hata kutumia watoto wao. Pia na wao kutokuwa mstari wa mbele kuwahadhibu wale wanaotetea marupurupu yao. Unakuta askari kakomaa na fimbo anachapa na kupiga kwa furaha mtu ambaye anatetea mafao ya uzeeni yaliyo bora. Huyu askari hajui anayempiga infact anatetea maslahi ya police mwenyewe.
 
Hiyo milioni 10 anunue pikipiki 2 ambazo ni almost 6m awe analetewa hesabu hiyo nne ndiyo akahangaike kutafuta shamba ambalo halitazidi 1m aanze kilimo mdogomdogo ataweza kuwa na uzee mwema kidogo
Unamuumiza!hizo piki piki ni risk free!!?

Bora anunue shamba hata la eka mbili anunue ng'ombe was maziwa hata watatu kwa 6m,zizi kwa m 1 ajenge afuge pole pole!!apate maziwa ya kuuza!!
 
Unamuumiza!hizo piki piki ni risk free!!?

Bora anunue shamba hata la eka mbili anunue ng'ombe was maziwa hata watatu kwa 6m,zizi kwa m 1 ajenge afuge pole pole!!apate maziwa ya kuuza!!
Mkuu kwa ng'ombe gharama zitamzidia maana kuna dawa na matunzo mengine yatararua hicho kidogo alichonacho arudi mavumbini alipotoka mapema bora boda ambayo akishanunua akapata vijana wake wa mkataba yeye ni kusebu 70k kila wiki
 
Back
Top Bottom