Recent content by SUKAH

  1. SUKAH

    Wakuu naomba mnieleweshe concept ya Mungu katika ukristo

    Yaani ukisema gari ni chesis sawa! gari ni injini sawa! gari ni bodi sawa!
  2. SUKAH

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Tueleweshe au toa ufafanuzi watu tufunguke.
  3. SUKAH

    Mfahamu Bi Kidude Malkia Wa Taarabu Zanzibar

    Yalaiti...
  4. SUKAH

    Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa Mfumo wa Uhamisho ESS?

    Ukijaribu kuomba tena inagoma, wataalamu wamenishauri niwasiliane na IT ili ahafute hayo maombi.
  5. SUKAH

    Taaluma muhimu za kujifunza katika mwaka huu wa 2024

    Tofauti ya programming na coding ni ipi? Hivi vitu navitamani sana ila sasa umri umeenda hadi naona uvivu kuvianza. Natamani miaka irudi nyuma.
  6. SUKAH

    Free Cisco IT Networking, Cyber Security and Programming courses

    Ooh shukran sana, ngoja niingie kuperuzi then nikate shauri chap.
  7. SUKAH

    KERO Wanafunzi Mwatulole Sekondari (Geita) wakifanya makosa wanatozwa Sh 1,000

    Mkuu huenda kwenye kikao cha wazazi ndivyo walivyokubaliana. Hii elimu bure imefanya baadhi ya wazazi walio wengi kijisahau na kutofuatilia mahudhurio ya watoto wao shuleni. Sasa kama mtoto kaanza utoro mzazi akianza kudaiwa hizo bukubuku na yeye atakaza huko nyumbani. Walimu kweli wana njaa...
  8. SUKAH

    Free Cisco IT Networking, Cyber Security and Programming courses

    Kwa sisi tusio na msingi wa IT vipi hii itatufaa? Au tunaweza kuanzia wapi kutoka kwenye hii link?
  9. SUKAH

    Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa Mfumo wa Uhamisho ESS?

    Taasisi ninayoenda ndo walireject. Nadhani wakati naapply kuna vipengele vilikuwa havijawekwa, ila kwa sasa vipo.
  10. SUKAH

    Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa Mfumo wa Uhamisho ESS?

    Hiyo option siioni mkuu, ipo kwa wapi? Nimeitafuta sana.
  11. SUKAH

    Haya majina ya vitu kwa kiingereza wengi hawafahamu

    Ila hizi herufi R na L zinatushushia sana p. Mkuu ni broom sio bloom. "Huko shule mlienda kusomea ... "
  12. SUKAH

    Kwanini Lucky Dube hatambuliki kama muasisi ama legend wa muziki wa reggae duniani?

    Naelewa mkuu, Dube yupo vizuri na tunazikubali kazi zake. Ila sasa linapokuja suala na kumuweka mizani moja na Bob, hapo ndo raia tunashindwa kujicotrol.
  13. SUKAH

    Uchaguzi wa ajabu chuo cha ardhi

    Eti, ety, ety zimekuwa nyingi, mtoa mada ni jinsia gani kwanza? Wewe hapo chuo umefuata uchaguzi au masomo? Stress zingine ni kujitafutia tu.
  14. SUKAH

    Mwalimu kwa mara nyingine tena

    Endelea kujitoa akili...
Back
Top Bottom