Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa Mfumo wa Uhamisho ESS?

Binafsi Huwa sishupalii Sana mambo yakiwa mapya mapya!

Ess nimeingia nikasoma hizo documents zao,nikajaza hizo task na sub task!baada ya hapo nikaona Ess ni ujinga usiokuwa na tija kama mifumo mingi ya serikali ya huko nyuma iliyofeli!!

Ess no upuuzi fulani hivi SEMA unaonekana was maana kwakua upon kwenye soft copy lakini no ujinga TU hauna maana!!
 
Duuh,
 
Mimi nilifanya Transfer Vacancy Request kwenda taasisi nyingine wakaiReject, na wakatoa sababu ya kureject.

Sasa kila nikijaribu kuomba sehemu nyingine wananiandikia "YOU HAVE OTHER PENDING REQUEST" ambayo tayari walishaiReject.

Nashindwa kwenda mbele, nashindwa kurudi nyuma. Na option ya kuiDelete ile request iliyokataliwa hamna.

Msaada wanakwetu wenye kujua jinsi ya kichomoka hapo.
 
Hapo wasiliana na IT wanaifuta
 
Kuna option ya ww kufuta ukaanza upya
 
Back
Top Bottom