Jamaa bado unashupaza shingo. Ukispecialize kwenye mapishi ndo usijue metre na square metre. Sio!
Kitu ambacho kinasomwa tokea elimu ya msingi.
Kuspecialize haimaanishi ku-unlearn vitu basic ulivyofundishwa hadi ikakupeleka huko kwenye specialization.
Kuna mnyakyusa mmoja anaitwa Drezy Chief ni mkali sana huyu jamaa, anachana ile kinomanoma.
Kuna mrangi mmoja hapo wa kuitwa Issa, anachana ile laana
Kuna msandawe mmoja wa kuitwa Computer, ana goma lake linaitwa mwezi wa misukosuko.
"... mpenzi nakuita, uje tuishi tena..." rudi mpenzi hiyo...
Yupo yule anayesema Tanga ipo Kaskazini kwa maana ya muingiliano na mafungamano ya masuala ya kijamii.
Na yupo yule anayesema Tanga ipo Pwani kwa kuzingatia mipaka ya kiutawala.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.