Mnafuataga nini kwenye huo Mwenge? Taifa limehaa wajinga sana, mimi kwa mara ya mwisho kuona mwente live kabisa ni miaka ya 90 baada ya hapo labda nione kwenye TV,
TUJIANDAE NA KUISHA MATUMIZI KWA BAADHI YA MALI ASILI
Mwisho wa matumizi ya baadhi ya Mali asili uko karibu sana, kama nchi tujiandae na tuchukue hatua sasa.
Mali asili ni moja ya utajiri wa asili kutoka kwa Mungu, ni utajiri ambao upo tangia kuumbwa kwa Dunia hii.Ukisoma historia biashara...
Umeenda shule?:Ngano ipi ya asili? Karoti za silini zipi hizo? Utasikia mtu anakuambia mahindi ya asili, asili ipi? mahindi yaliletwa kutoka Mexco ba Wamisionaries na wakoloni,hakuna mahindi ya asiliAfrica. Matunda ya asili ni ya mwituni ambayo oia ni mazuri sana tofauti na matunda ya mwituni...
Magonjwa ya Tabia ndio magonjwa yanayo tusumbua sana,na Makampuni yacmadawa na hizo Bima ndio sehemu wanatajirikia.Bima sio suluhisho,Bima haiwezi fanya usipate kisukari,Kansa,Presure na kadhalika. Ila kubadilia mifumo ya maisha kutatufanya tusipate hayo magonjwa.
Sasa kimjini mjini watu wengi...
Bima nzuri ya afya ni wewe kuishi kiafya mkuu,Magonjwa mengi ni magonjwa ya Tabia, hizo Bima sana sana zitatusaidia kwenda kupewa madawa na sio suluhisho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.