Recent content by sinamvuto

  1. sinamvuto

    Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

    Hivi hadi miaka ya leo mkifanya mapenzi mnaulizana maswali kama umeridhika au la? Mbona naona maswali ya ajabu sana mchezoni!!
  2. sinamvuto

    Je, nitumie dili niliyopewa ukweni hata kama wife ananitambia?

    Naona my wife wako,fridge lake haligandishi( hajui kutunza siri).Anyway mvumilie na kumpa ukweli wake yale anayokukwaza,ila usiache hiyo mipango kufanya kwani faida ni yenu japo yeye kifua chake ni kama chujio la nazi.
  3. sinamvuto

    Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Sijaona umuhimu wa wewe kumblock pale mwanzo kisa yeye alikublock.Inaonekana huyo mrembo ameshajua udhaifu wako kwake,so anarudisha majeshi.
  4. sinamvuto

    Wachaga nini siri ya mafanikio yenu?

    Siri ya utajiri ni ubahili!!
  5. sinamvuto

    Kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa

    Nimeleta kama swali,sijaleta kama hoja. Pia jitahidi kusoma key point za swali husika kabla haujaandika unachowaza!!
  6. sinamvuto

    Kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa

    "Hakuna mtu mwenye akili timamu,anaweza kudumu kwenye ndoa kwa miaka mingi" hii kauli ina ukweli boss?
  7. sinamvuto

    Huyu ndugu yangu alinidharau nimemsamehe bila kumwambia ila kwenda kwake naona hata uvivu

    Nakazia,ajitafakari sio kila kitu cha kuchukulia negative tu!!
  8. sinamvuto

    BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

    Kwenye dstv wametoa tangazo tangu wiki iliyopita kuanza tar 15 mwezi huu haitakuwepo hewani tena kwenye king'amuzi hiyo Emmanuel tv
  9. sinamvuto

    Nimechanganyikiwa msaada wa haraka

    Sory nje ya mada,kwanini umetumia kauli" napenda sana watoto,mbaya zaidi wa kike" mtoto wa kike ana shida?
  10. sinamvuto

    TV4Sale Hisense TV smart inch 50 inauzwa

    Daah!! Kweli umaskini unaharibu ndoto za wengi!! Nimekosa hela ya kuipata hii mashine ya ndoto yangu,kila lakheri katika biashara boss!!
  11. sinamvuto

    Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

    Eneo lako la huduma ni wapi? Tulio mbali na ulipo tunapata vp huduma
  12. sinamvuto

    Kukopeshana kunasababisha tupoteze sana Marafiki

    Sana kwanini unahitaji hela yako
  13. sinamvuto

    Car4Sale Gx 100 forsale

    Nina bajeti ya 13 milioni,naiona ndogo sana kulingana na bei yako.Punguza boss ili nami nitimize ndoto zangu kumiliki chuma!!
Back
Top Bottom