Kukopeshana kunasababisha tupoteze sana Marafiki

Umefanya 'fallacy of generalization'.

Sio marafiki WOTE ni zaidi ya ndugu. Wapo WACHACHE ambao ni waaminifu na waadilifu ndio huwa zaidi ya ndugu.

Wengine makanjanja tu.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Huyo unayemuita kanjanja unaweza pata shida hapo baadae alafu ndo akakusaidia alafu hao unaowathamin asikusaidie hata mmoja
Maisha ni fumbo gumu sana
 
Maisha ni fumbo gumu sana, ukijifanya husaidii watu siku shida ikitia kambi kwenye maisha yako utajua hujui

Kwenye maisha mkopeshe mtu kama una uwezo sababu hujui kesho nini kitakupata
Mkopeshe hata asipokulipa kwa sasa hivi hujui hapo baadae atakusaidia sehemu kubwa sana zaid hata ya mkopo uliompa
Haya maisha bwana, ukijifanya kauzu na siku likikukuta mbona utajua.
 
Shida kubwa ya jamiiforum imevamiwa na watoto ambao hawajui maisha yanabadilika na hawajui kesho

Ni kwa nini kuna watu humu tukitofautiana mitazamo mnakimbilia kuita watu watoto? Unaujua umri wangu?

Hakuna sehemu nimepinga watu kukopesha bali nimetoa ushauri unaweza uzingatiwe ama utupiliwe mbali. Nachosemea mimi usikopeshe bali toa kama uwezo unao iwe kama umetoa sadaka ila mambo ya kumpa pesa mtu ukiwa na matarajio atarudisha na asirudishe wengi inatukatisha tamaa na tunaumizana.

Kama wewe unakopesha watu hawakulipi na bado tena unaendelea kukopesha in the name of kubarikiwa basi huyo ni wewe. Wengine humu maisha yetu magumu hela ndogo bado unampa mtu tena unaemuamini hakulipi tena kwa makusudi. Tunaumizana.
 
Haya maisha bwana, ukijifanya kauzu na siku likikukuta mbona utajua.
Inatakiwa tuwe humble sana sio kidogo fumbo la kesho ni gumu sana sababu hakuna aliyefika na masha yanabadilika

Sisi wanaume mtu anaweza kuja kukopa lakin ana shida kubwa yaani ile aliyekuambua ni tip of icebarg kwa hiyo anaweza akawa hajakulipa kwa mda ni shida aliyokua nayo ni kubwa sana na yeye amekuambia kwa udogo sana

Kama mwanaume uliyekomaa na kupitia maisha hivi vitu utavijua lakin ukiangalia comment wengi wao ni watoto wa mama hawajui maisha yakoje
 
Ni kwa nini kuna watu humu tukitofautiana mitazamo mnakimbilia kuita watu watoto? Unaujua umri wangu?

Hakuna sehemu nimepinga watu kukopesha bali nimetoa ushauri unaweza uzingatiwe ama utupiliwe mbali. Nachosemea mimi usikopeshe bali toa kama uwezo unao iwe kama umetoa sadaka ila mambo ya kumpa pesa mtu ukiwa na matarajio atarudisha na asirudishe wengi inatukatisha tamaa na tunaumizana.

Kama wewe unakopesha watu hawakulipi na bado tena unaendelea kukopesha in the name of kubarikiwa basi huyo ni wewe. Wengine humu maisha yetu magumu hela ndogo bado unampa mtu tena unaemuamini hakulipi tena kwa makusudi. Tunaumizana.
Yes ni utoto kama nchi zinasaidiwa na nchi nyingine sembuse binadamu
Binadamu hatujakamilika na shida zimeumbiwa wanadamu wote siku zikipiga kambi kwako ndo utaelewa

Ukiwa una afya nzuri, umekula umeshiba unaweza ukaongea shit yeyote ile
 
Inatakiwa tuwe humble sana sio kidogo fumbo la kesho ni gumu sana sababu hakuna aliyefika na masha yanabadilika

Sisi wanaume mtu anaweza kuja kukopa lakin ana shida kubwa yaani ile aliyekuambua ni tip of icebarg kwa hiyo anaweza akawa hajakulipa kwa mda ni shida aliyokua nayo ni kubwa sana na yeye amekuambia kwa udogo sana

Kama mwanaume uliyekomaa na kupitia maisha hivi vitu utavijua lakin ukiangalia comment wengi wao ni watoto wa mama hawajui maisha yakoje
Humbleness is key mkuu. Dogo siku tunatoka kwenye kikao(jpili jioni), anakuja bro naomba hela, sina mia na sijui nawaachia nini watoto kesho asubuhi. Kama ni mwanaume, una familia...ukiwaza unaweza pata hisia kali sana, kama unayo kwa nini usimpe..hizi ndio scenarios zinatukuta wanaume..
 
Ni kwa nini kuna watu humu tukitofautiana mitazamo mnakimbilia kuita watu watoto? Unaujua umri wangu?

Hakuna sehemu nimepinga watu kukopesha bali nimetoa ushauri unaweza uzingatiwe ama utupiliwe mbali. Nachosemea mimi usikopeshe bali toa kama uwezo unao iwe kama umetoa sadaka ila mambo ya kumpa pesa mtu ukiwa na matarajio atarudisha na asirudishe wengi inatukatisha tamaa na tunaumizana.

Kama wewe unakopesha watu hawakulipi na bado tena unaendelea kukopesha in the name of kubarikiwa basi huyo ni wewe. Wengine humu maisha yetu magumu hela ndogo bado unampa mtu tena unaemuamini hakulipi tena kwa makusudi. Tunaumizana.
Umeandika vizuri sana. No more, no less.

Back
Top Bottom