Recent content by Schengen

  1. S

    Chama cha wasio waislam wala wakristo kinahitajika

    Mbona huku Brella Hatuoni maombi?
  2. S

    Hivi kwanini mtu aombe kwa kupitia bikira maria?

    NI ujinga tu Sawa na wake wa Muhammad Ni kuwaombea tu Mungu awafungue fahamu zao
  3. S

    Natafuta mume mcha Mungu

    Mwanamke akishaajiriwa anapoteza unyenyekevu kabisa. Kwa maelezo hayo mtu anaelewa Wewe Ni wa Aina gani
  4. S

    Natafuta Mume aliye serious anayetaka mke. Nina miaka 36

    Tatizo Mimi nimezidi umri hapo kidogo
  5. S

    Natafuta mchumba wa kunioa

    Nina shida na Mwanamke aliyeko Serious kuolewa Sana. Ila Nimepelea Kwenye vigezo
  6. S

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Kwa wasioelewa niwafungue ufahamu. Majini Ni malaika walioasi Wakatupwa Duniani pamoja na Bosi wao Lucifer . Hiyo Ndio maana ya Majini. Soma ufunuo wa Yohana 12 yote utanielewa Sasa NI dhahiri kuwa Huwezi tenganisha Ile Dini na Majini Hilo liko dhahiri. Sasa unaweza elewa wanamuabudu Nani...
  7. S

    Nina harisha damu yenye matone kama kamasi

    Si dalili nzuri ila pia usimrahisishie shetani kazi. Weka bando Leo jioni Kuna Semina ya Mtumishi wa Mungu Elibariki Sumbe Ingia You tube Andika Elibariki Sumbe au Vuka Yordan 4:00pm Wewe mfuatilie. Utatuletea ushuhuda hapa. Sina mashaka na hilo kabisa. Asante
  8. S

    Nimeoa ila natamani sana wanawake wengine

    Kaka Hilo linaitwa jini mahaba. Linatesa sana
  9. S

    Elibariki Kingu: Nchi hii(Tanzania) Watu Hawalipi Kodi. Marekani Mama Ntilie Analipa Kodi

    Tatizo hamboreshi Sera za Kodi Kwa sababu Ni fursa Kwenu. Watanzania wako tayari kushiriki katika ulipaji wa Kodi ikiendana kwa mtu kulipa Kwa anachongiza.
  10. S

    Uganda na Kenya wasaini kulifikisha bomba la mafuta Kampala kutoka Eldoret

    Hakuna shida. Very intelligent. Congratulations 🎉
  11. S

    Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

    Hapana haihitajiki Kama unaenda kutalii
  12. S

    Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

    Nilikuwa constance belle Mare plage Hotel last year Asikudanganye mtu Mauritius Ni nzuri Kwa mapumziko. Hakujaendelea kama hapa ila beaches are very beautiful and organised
Back
Top Bottom