Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

1. Udini.

2. Hatari ya uvunjifu wa haki za binadamu. Wakati, Mauritius ni moja ya nchi rafiki katika kusimamia na kulinda haki za binadamu.

3. Miundombinu mibovu pamoja na magari chakavu. Wakati, Mauritius walitoa duty fees kwa magari ya umeme kuingizwa nchini mwao mpaka mwishoni mwa June 2024.

4. Dress code. Zanzibar wanapangia watalii mavazi ya kuvaa na huwa wanatozwa mpaka $700 kama faini wakivaa mavazi yanayoonekana siyo ya heshima kwa Zanzibar.

Zipo sababu nyingi tu, Zanzibar ina potential ya kuwa sehemu kubwa kwa utalii zaidi ya ilipo ila sheria zao siyo rafiki kwa jamii zote.
 
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria A380 linatua daily kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka.
Nilikuwa constance belle Mare plage Hotel last year
Asikudanganye mtu Mauritius Ni nzuri Kwa mapumziko. Hakujaendelea kama hapa ila beaches are very beautiful and organised
 
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pwmojanna mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka.

Shida ni Uvamizi wa Nyerere na CCM yake bila Zanzibar kuwa huru tusahau na watu wa Tanganyika katu hawaitakii mema Zanzibar ni unafiki mtupu uliopo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom