Kiukweli takukuru navyoiona NI chombo kinachombo ambacho hakina Meno kwa wabadhilifu wa nchi hii NI kama kinaelekelezwa na viongozi wa ccm nini kifanyike na kipi kiachwe nachoshangaa kauli ya tundu lisu kuwepo kwa fedha chafu ndani ya CHADEMA ilimuibua mwenezi wa ccm na mkurugenzi wa takukuru ...
Mama asiwaamini hao watu wake 2025 hatoamini mambo yatakavuobadilika hii nchi si ya kundi la watu wachache la kupeana vyeo huku kazi hamna wengine wakilia /
Mafao kwa wenza wastaafu viongozi wa juu raisi makamu spika na waziri mkuu [emoji736]
Wabunge kulipwa stahiki zao zote[emoji736]
Walimu...
Kitendo cha mkuu wa nchi kukimbia sherehe za Mei mosi eti kwa sababu kikokotoo ni mwiba kwa wafanyakazi ajue kuwa hapo hajatibu chochote.
CCM katika zama hizi isiamini kushinda uchaguzi mkuu kwa njia ya WIZI, watu wamechoka na maisha haya siyo wafanyakazi siyo wananchi WA kawaida wanaona mambo...
Dp world ni kivuli Tu Amin na waambieni na hamtokuja kuona teknolojia yoyote ya uboreshaji wa bandari ya daresalaam wala mapato kuongezeka hapo NI deal za watu ndani ya nchi akiwemo kiranja mkuu! Kule ofisi kuu dodoma ya kutunga Sheria wapo wanaamini kwamba hawataguswa wajue kuwa siku watakapo...
CHADEMA NI matapeli hakuna chama hapo NI kikundi cha watu wanaoisapoti ccm! Walisha pata wanachohitaji wanasahau misingi waliojiwekea inshort NI walamba asali wanapenda nusu mkate
Taarifa za kwamba DP World itaboresha bandari ya Dar es Salaam na mapato kuongezeka hiyo ni ndoto ya mchana kweupe! Hawa watu wamejipanga kuikamua nchi wanachofanya ni kupata pesa kwa mkataba hewa ambao unahusishwa kampuni hiyo.
Mimi nasema haya lakini nimeona niseme maana wanaodhani kuwa...
Kiingereza siyo tija mkuu bado unafikria za hivo katika ulimwengu wa sasa bado unatukuza lugha ya watu wengine ! Jifunze china na urusi utanishukru ! Ukute hata majina ya wanao umewaita majina ya wakoloni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.