Search results

  1. RWANDES

    Takukuru nyie mnaona fedha chafu CHADEMA; je hoja za CAG mbona mmekaa kimya?

    Aise vyombo vingine vipo Tu bila kazi yoyote
  2. RWANDES

    Takukuru nyie mnaona fedha chafu CHADEMA; je hoja za CAG mbona mmekaa kimya?

    Kiukweli takukuru navyoiona NI chombo kinachombo ambacho hakina Meno kwa wabadhilifu wa nchi hii NI kama kinaelekelezwa na viongozi wa ccm nini kifanyike na kipi kiachwe nachoshangaa kauli ya tundu lisu kuwepo kwa fedha chafu ndani ya CHADEMA ilimuibua mwenezi wa ccm na mkurugenzi wa takukuru ...
  3. RWANDES

    NI aibu mkuu wa nchi kukimbia hoja za kikokotoo Mei mosi na kutuma wawakilishi, hili kwake ni mwiba siku inakuja

    Mama asiwaamini hao watu wake 2025 hatoamini mambo yatakavuobadilika hii nchi si ya kundi la watu wachache la kupeana vyeo huku kazi hamna wengine wakilia / Mafao kwa wenza wastaafu viongozi wa juu raisi makamu spika na waziri mkuu [emoji736] Wabunge kulipwa stahiki zao zote[emoji736] Walimu...
  4. RWANDES

    NI aibu mkuu wa nchi kukimbia hoja za kikokotoo Mei mosi na kutuma wawakilishi, hili kwake ni mwiba siku inakuja

    Kitendo cha mkuu wa nchi kukimbia sherehe za Mei mosi eti kwa sababu kikokotoo ni mwiba kwa wafanyakazi ajue kuwa hapo hajatibu chochote. CCM katika zama hizi isiamini kushinda uchaguzi mkuu kwa njia ya WIZI, watu wamechoka na maisha haya siyo wafanyakazi siyo wananchi WA kawaida wanaona mambo...
  5. RWANDES

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Ila Mpina hii mada aliyoleta italeta maneno
  6. RWANDES

    DP World ni genge la watu wanaojifanya wawekezaji ndani ya nchi yetu

    Dp world ni kivuli Tu Amin na waambieni na hamtokuja kuona teknolojia yoyote ya uboreshaji wa bandari ya daresalaam wala mapato kuongezeka hapo NI deal za watu ndani ya nchi akiwemo kiranja mkuu! Kule ofisi kuu dodoma ya kutunga Sheria wapo wanaamini kwamba hawataguswa wajue kuwa siku watakapo...
  7. RWANDES

    Unadhani kwanini Mbowe na Mnyika wanang'ang'ania CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu kwa Tume ile ile ya Uchaguzi?

    CHADEMA NI matapeli hakuna chama hapo NI kikundi cha watu wanaoisapoti ccm! Walisha pata wanachohitaji wanasahau misingi waliojiwekea inshort NI walamba asali wanapenda nusu mkate
  8. RWANDES

    DP World ni genge la watu wanaojifanya wawekezaji ndani ya nchi yetu

    Mimi nawaambia hii nchi ndani ya CCM kuna watu wameshaimiliki na Kodi ya nchi wanakula wao,
  9. RWANDES

    DP World ni genge la watu wanaojifanya wawekezaji ndani ya nchi yetu

    Taarifa za kwamba DP World itaboresha bandari ya Dar es Salaam na mapato kuongezeka hiyo ni ndoto ya mchana kweupe! Hawa watu wamejipanga kuikamua nchi wanachofanya ni kupata pesa kwa mkataba hewa ambao unahusishwa kampuni hiyo. Mimi nasema haya lakini nimeona niseme maana wanaodhani kuwa...
  10. RWANDES

    Dar: RC Chalamila apokea msaada toka DP World Foundation kwa ajili ya wenye uhitaji mfungo wa Ramadhani

    Dp world ni genge la msoga gang hapo hamtoona uboreshaji wa bandari wala kuongezeka kwa mapato Niko hapa
  11. RWANDES

    Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

    Kuimba wimbo huo NI uzalendo wapi wamekataza usiimbwe makanisani
  12. RWANDES

    Safari ya Prof. Ndalichako katika utumishi, siyo chawa wa wanasiasa amejikita kiutendaji zaidi

    Kiingereza siyo tija mkuu bado unafikria za hivo katika ulimwengu wa sasa bado unatukuza lugha ya watu wengine ! Jifunze china na urusi utanishukru ! Ukute hata majina ya wanao umewaita majina ya wakoloni
  13. RWANDES

    Safari ya Prof. Ndalichako katika utumishi, siyo chawa wa wanasiasa amejikita kiutendaji zaidi

    Prof. Ndalichako elimu yake haina mashaka hata kidogo, wengi wao tumemjuwa tangu akiwa kwenye elimu nadhani vijana wengi Tanzania hii vyeti vyao vina sahihi yake, huyo mama hawezi kuwa chawa WA wanasiasa maana nakupita katika njia hiyo katika utumishi wake! Yeye abachojuwa NI kutekekeza majukumu...
  14. RWANDES

    Zitto Kabwe: Rais Samia alipaswa kutangaza kifo cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa, kitendo Cha Wakuu wa Ulinzi kuwa Watoa Taarifa ni hatari!

    Binafsi Mimi sishangai kauli za zitto maana namjuwa vizuri NI mtu anayetumika na serikali siku zote tangu akiwa chuo ,akiwa CHADEMA hadi Sasa, mjuwe kuwa huyo amebimbewa na asali anayolamba Kila siku.
Back
Top Bottom