RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,621
- 3,937
- Thread starter
- #21
Kiingereza siyo tija mkuu bado unafikria za hivo katika ulimwengu wa sasa bado unatukuza lugha ya watu wengine ! Jifunze china na urusi utanishukru ! Ukute hata majina ya wanao umewaita majina ya wakoloniElimu yake haina mashaka wakati kingereza cha kawaida kabisa hakiwezi ?