Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa kinijalia afya njema...napenda kuwapa moyo vijana wenzangu ya kwamba wasikate tamaa..kikubwa tuendelee kupamba, kumuomba mungu..
Niko kitambaa cheupe mda huu nimepaki boda yangu kiukweli uvumilivu wangu na nidhamu kwa wateja na barabarani vimenifanya...
Kuna mzee mmoja hapa ubungo alitaka kuiuza nyumba yake kwa Bei ya tsh mil 25,wakapangana na madalali wawili ambapo madali watachukua mil 2 tu.
Sasa madalali wamempata mteja ambae alivoina nyumba akasema yeye atainunua kwa tsh mil150..madalali wakamuambia mzee sisi hio mil 2 usitupe.
Cha msingi...
Wakuu nimempakia abiria wangu mzungu kutoka wavuvi Hadi mikocheni kwa warioba akanipa hii akaniambia nimrudishie 5000..Sasa hi itakuwa Bei gani je kanipiga?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.