Kwa hali hii ungekuwa wewe ndiyo mwenye nyumba ungeuza nyumba yako?

Paul dybala

JF-Expert Member
Jul 30, 2023
304
1,096
Kuna mzee mmoja hapa ubungo alitaka kuiuza nyumba yake kwa Bei ya tsh mil 25,wakapangana na madalali wawili ambapo madali watachukua mil 2 tu.

Sasa madalali wamempata mteja ambae alivoina nyumba akasema yeye atainunua kwa tsh mil150..madalali wakamuambia mzee sisi hio mil 2 usitupe.

Cha msingi wewe chukua chako ulichosema unakiuza mil125 tuachie... Sasa wapo wanaosema mzee kaleta tamaa je wewe ungechukua kinachokuhusu au ungevunja biashara?
 
Kuna mzee mmoja hapa ubungo alitaka kuiuza nyumba yake kwa Bei ya tsh mil 25,wakapangana na madalali wawili ambapo madali watachukua mil 2 tu.

Sasa madalali wamempata mteja ambae alivoina nyumba akasema yeye atainunua kwa tsh mil150..madalali wakamuambia mzee sisi hio mil 2 usitupe,Cha msingi wewe chukua chako ulichosema unakiuza mil125 tuachie... Sasa wapo wanaosema mzee kaleta tamaa je wewe ungechukua kinachokuhusu au ungevunja biashara?
Ningevunja nikatulia nikaiuza baadae
 
Dalali ana miliki Gari ya M40 kumbe daah mjini janja janja nyingi sana mwendo wa double cross unasema unauza 25 wenzako wanakiuza 100 wanachukua 75 wewe wanakupa 25 alafu kitu cha kwako
 
Kuna mzee mmoja hapa ubungo alitaka kuiuza nyumba yake kwa Bei ya tsh mil 25,wakapangana na madalali wawili ambapo madali watachukua mil 2 tu.

Sasa madalali wamempata mteja ambae alivoina nyumba akasema yeye atainunua kwa tsh mil150..madalali wakamuambia mzee sisi hio mil 2 usitupe.

Cha msingi wewe chukua chako ulichosema unakiuza mil125 tuachie... Sasa wapo wanaosema mzee kaleta tamaa je wewe ungechukua kinachokuhusu au ungevunja biashara?
WEE TAMAA LAZIMA, HELA TAMU
 
warudi mezani....dalali hawezi kupata hela nyingi kuliko mwenye nyumba hata kama mteja hapatikani kirahisi ila hela ya udalali ikizidi 10% huo ni wizi kama wizi mwingine, kama hawataki makubaliano mapya mzee akatae waondoke na mteja wao.
 
Back
Top Bottom